Uninyunyizie Maji Lyrics

Uninyunyizie maji (Bwana)
Uninyunyizie maji (Bwana)
Unioshe nitakate (kweli) Niwe mweupe kabisa

Mimi ni mwenye dhambi (Bwana)

Natamani nije kwako (Bwana)

Naingia nyumba yako (Bwana)

Niuone uso wako (Bwana)

Nifurahi milele (Bwana)

WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2015
Album : Uninyunyizie Maji (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
OUR LADY OF FATIMA KONGOWEA CATHOLIC CHOIR
Kenya
Our Lady Of Fatima Kongowea Catholic Choir is a Christian Choir band based in Mombasa Kenya. ...
YOU MAY ALSO LIKE