Ujulikane Lyrics
Nisijione mkamilifu
Kwa nguvu zangu
Nitaweza pekee yangu
Nisiamini hekima yangu
Juhudi zangu
Nikutazamie Mungu
Watakao nisikia
Wakinishangilia aah
Niwaelekeze kwako
Watakao nifuata
Nikikufuata
Tuje kwako
Na chochote kile, kitaenda sawa
Sio mimi ni wewe ujulikane
Na popote pale, nitaenda Baba
Sio mimi wewe ujulikane
Ujulikane, ujulikane
Ewe Yesu, ujulikane
Ujulikane, ujulikane
Ewe Yesu, ujulikane
Kwa maneno yangu, tena matendo yangu
Natamani wewe ujulikane
Kama vile maji, yafunikavyo bahari
Natamani wewe ujulikane
Uokoe waliofungwa
Wenye waliozidiwa
Uinue waliolemewa
Hakuna usichokiweza Baba
Chochote kile, kitaenda sawa
Sio mimi ni wewe ujulikane
Na popote pale, nitaenda Baba
Sio mimi wewe ujulikane
Ujulikane, ujulikane
Ewe Yesu, ujulikane
Ujulikane, ujulikane
Ewe Yesu, ujulikane
Uokoe waliofungwa
Uwaponye waliozidiwa
Uinue waliolemewa(lemewa)
Baba ujulikane
Ujulikane, ujulikane
Ewe Yesu, ujulikane
Ujulikane, ujulikane
Ewe Yesu, ujulikane
Mienendo yangu ikupendeze
Duniani wakutambue
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Ujulikane (Single)
Copyright : All rights to the owner.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
KARWIRWA LAURA
Kenya
Mugambi Laura Karwirwa, is a gospel artist, singer, songwriter and TV Host for the B ...
YOU MAY ALSO LIKE