Utarudi Lini Lyrics
Umenimada mada mie tena umeniteeka
Umenimada mada mie tena umeniteeka
Nika jigwayagwaya mie kama nyasi wakufyekwa
Nika jigwayagwaya mie kama nyasi wakufyekwa
Mummy kweliii hali mbaya aaaeeeehhhhh
Nami sielewi hauoni haya haya
Mummy kweliii hali mbaya aaaeeeehhhhh
Nami sielewi hauoni haya haya utarudi lini wewe
Utarudi lini wewe
Utarudi lini minauliza ni kwa nini mimi waniumiza
Utarudi lini wewe
Utarudi lini minauliza ni kwa nini mimi waniumiza
Utarudi lini wewe aaaahhhheeee
Nimechoka mimi kusemwa tena kungoja mimi naumwa
Hali hii mbaya mie nimechoka kujimwaya
Mummy kweliii hali mbaya aaaeeeehhhhh
Nami sielewi hauoni haya haya utarudi lini wewe
Utarudi lini wewe utarudi lini minauliza ni kwa nini
Mimi waniumiza utarudi lini wewe
Utarudi lini minauliza ni kwa nini mimi waniumiza
Utarudi lini wewe aaaahhhheeee
I wish ungekuwa hii safari si tungetuwa yeeeeh
I wish ungekuwa ya watu si tungeyaepuka
Ya watu sumu hali ikizidi itakuwa ngumu aaahhhh
Ya watu sumu ikizidi watarudi humu
Mummy kweliii hali mbaya aaaeeeehhhhh
Nami sielewi hauoni haya haya
Utarudi lini wewe utarudi lini wewe
Utarudi lini minauliza ni kwa nini mimi waniumiza
Utarudi lini wewe
Utarudi lini minauliza ni kwa nini mimi waniumiza
Utarudi lini wewe aaaeeeehhhhh
Braybrownmusic
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Utarudi Lini (Single)
Added By : Braybrownmusic
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE