Ziwake Lyrics
Kawikendi kamefika tukaparty
Tukakate maji Kcee na Konyagi
Ni kubaya leo lazma watu wakate
Leta hako kanare mbogi iziwashe
Leo lazima ziwake
Leo lazima ziburn
Weka doba katambe
Zilipuke vigwaan
Leo lazima ziwake
Leo lazima ziburn
Weka doba katambe
Zilipuke vigwaan
Cheki solo kwa debe
Genje mi nimejipin na niko tipsy
Na jeshi yote ya Big P
Basi beef me nikuonyeshage ni mazishi
Ndo unipate na Njeri kwa keja we are kissing
Na matire zikanionyeshanga ribbon
Ndo reason mi hukuwaga na besheni na ndera na ndom
Nikijiseti mashashola na kando ni mary jane
Nasporti tukichachisha ribbon 10 10
Hii ni kelele ya Willis wakati na gang gang
Nikichokoza wajue thii ju namake noise
Tuko lembe kama Mollis akidishingi warena
Ama lembe kama mimi nikiwachafua tena
Kawikendi kamefika tukaparty
Tukakate maji Kcee na Konyagi
Ni kubaya leo lazma watu wakate
Leta hako kanare mbogi iziwashe
Leo lazima ziwake
Leo lazima ziburn
Weka doba katambe
Zilipuke vigwaan
Leo lazima ziwake
Leo lazima ziburn
Weka doba katambe
Zilipuke vigwaan
Niko Nairobi Kamukunji mi na grind
Nilipiga jeanika na ile kofia ya Nike
Nimevunja vizii na mabazenga mtu '90
Likee mi ndio donga kama Mbuvi Mikey
Ndio maana natesa Nairobi nasunda zaidi
Siku hizi mi hutulianga na Wifey
Na mbogi ya mathera na mandela Icey
Tukidouble tap picha zetu pale IG
Ni mabichwa buda ndo zinaitisha
Na ka 3some mimi Njeri na Mellisa aii
Hii Nairobi huwezani bila ganji
Ka ni bash hatutaki watiaji
Tunataka madem wamejibeba kama Maandy
Kawikendi kamefika tukaparty
Tukakate maji Kcee na Konyagi
Ni kubaya leo lazma watu wakate
Leta hako kanare mbogi iziwashe
Leo lazima ziwake
Leo lazima ziburn
Weka doba katambe
Zilipuke vigwaan
Leo lazima ziwake
Leo lazima ziburn
Weka doba katambe
Zilipuke vigwaan
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Ziwake (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
KAPPY
Kenya
Kappy aka 'The Lyrical Doctor' is a Gengeton artist from Kenya, Kappy is a member of&nb ...
YOU MAY ALSO LIKE