Home Search Countries Albums

Kasonge

KAPNEA

Kasonge Lyrics


Oi oi oi oi, oi
Lete tool mafundi tumake noise
Mda huu hivyo ndo, hivyo ndo
Hivyo ndo verse ilianza

Tokea kitambo am that real
Natege ka Rambo na tecnics za tychi
Which means you are G
Maana lazima kasonge (Lazima kasonge)

2020 pita uende
Nilikukaribisha ukamea pembe
Kidogo nipande ndege
Ila sawa haina was lazima kasonge

Vitu ziko under control
Better days bado zipo
Uzuri Mungu daily yupo
Na kama Mungu yupo mazuri bado yapo

So lazima kasonge
Lazima kasonge
Cha muhimu ni kasonge
Lazima kasonge

We ulidhani nitakufa hee
Ukinichukia (Lazima kasonge)
Mambo yangu barida yeah
Pole kama unanichukia (Lazima kasonge)

Glory to God for good music
We don't stop we dancing keep moving
Calm your nerve down usishtuke
Ukitaka uruke show your dope movement

Vitu ziko under control
Better days bado zipo
Uzuri Mungu daily yupo
Na kama Mungu yupo mazuri bado yapo

So lazima kasonge
Lazima kasonge
Cha muhimu ni kasonge
Lazima kasonge

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Kasonge (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

KAPNEA

Kenya

Kapnea is an artist from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE