Neema Lyrics

Ingekuwa jambo la kustahili
Sijui ningekuwa wapi?
Ingekuwa sababu ya matendo
Sijui ningetupwa wapi?
Ingekuwa kulingana na jina
Sijui ningeitwa nani?
Ningeitwa marehemu
Ningeitwa mimi tasa
Ningeitwa asiyefaa
Asante Yesu kwa neema yako
Wokovu nimepata bure
Asante Yesu kwa neema yako
Kufa ningekufa
Asante Yesu kwa neema yako
Kutupwa ningetupwa
Jalalani ungenipata, nikila uchafu
Msituni ungenikuta, nikila majani
Jalalani ungenipata, nikiwa mchafu
Msituni wangenitupa, niishi na wanyama
Mnyonge mimi, wangenidharau tu
Mdhaifu mimi, wangenikanyaga tu
Sina nguvu mimi, wangenimaliza tu
Ningetupwa kwenye tanuru la moto niangamie
Ningetupwa kwenye shimo la simba, nifie huko
Ningetupwa kwenye tanuru la moto niangamie
Ningetupwa kwenye shimo la simba, nifie huko
Jalalani ungenipata
Nikila uchafu
Msituni ungenikuta
Nikila majani
Asante Yesu kwa neema yako
Wokovu nimepata bure
Asante Yesu kwa neema yako
Kufa ningekufa
Asante Yesu kwa neema yako
Kutupwa ningetupwa
Jalalani ungenipata, nikila uchafu
Msituni ungenikuta, nikila majani
Jalalani ungenipata, nikiwa mchafu
Msituni wangenitupa, niishi na wanyama
Ni kwa neema (Neema)
Neema (Neema), Neema (Neema)
Asante kwa neema
Neema (Neema), Neema (Neema)
Ni kwa neema (Neema)
Neema (Neema), Neema (Neema)
Asante kwa neema (Neema)
Neema (Neema), Neema (Neema)
Naishi kwa neema (Neema)
Neema (Neema), Neema (Neema)
Kwa neema (Neema)
Neema (Neema), Neema (Neema)
Uhai kwa neema (Neema)
Neema (Neema), Neema (Neema)
Huduma ya neema (Neema)
Neema (Neema), Neema (Neema)
Oooh ni kwa neema yako!
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Neema (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE