Home Search Countries Albums

Bangi Lyrics

Ukiamka kwenda church mi huamka kuvuta bangi
Mi huvuta bangi ndio ni deal na mashetani
Mi hukula bangi zishike zikiwa ndani 
Na kama hupendi bangi we ni mtoto wa shetani

Uh, niko na swali? Nani ako na bangi
Nani ako na party tukuje tuwashe bangi
Nani ako na lighter yangu nilipea mlami 
Alikuwa na ki bangi ametoa Kasarani

Uh, niko na chwani ya kuvuta bangi
Kaa niko na 100 ntavuta mbili za chwani
Kaa niko na show backstage navuta bangi 
Mpaka macho ziwe red kushinda lipstick ya Zari

Ukiamka kwenda church mi huamka kuvuta bangi
Mi nachapa kazi kushinda pepo za shetani
Napenda majani kwanza ikiwa na asali
Napenda my honey ye ni mtamu na sukari

Ni ya ma sugardaddy nataka sugarmummy 
Bora ako na watoi wanapenda bangi
Bora ako na account naweza toa ganji 
Nikikosa ganji najua siwezi kosa bangi

Ukiamka kwenda church mi huamka kuvuta bangi
(Bangi bangi, bangi bangi)
Na kama hupendi bangi weh ni mtoto wa shetani
(Tani tani, tani tani)

Ukiamka kwenda church mi huamka kuvuta bangi
(Bangi bangi, bangi bangi)
Na kama hupendi bangi weh ni mtoto wa shetani
(Tani tani, tani tani)

Ukiamka kwenda church mi huamka kuvuta bangi
Mi huvuta bangi ndio ni deal na majirani
Mi Hukula bangi ndio damu ikuwe safi
Na kama Hupendi bangi weh ni mtuo wa shetani

Niko na jibu, nani ako na swali?
Nani ako na tibu juu tiba huwa ni bangi
Niliuma ndimu nipate sura ya kazi 
Na Tangu nianze bangi niliwachana na kazi

Uh niko na arif, hawezi kosa bangi
Kaa sina doh mi huenda kwake kula bangi
Kaa niko na show yeh ndio huletanga bangi
Bangi bangi bangi bangi bangi after bangi

Ukiamka kwenda church mi huamka kuvuta bangi
Mi nachapa kazi kushinda ata Matiang'i
Mi napenda honey kwanza ikiwa na ki bangi 
Napenda asali utamu iko kwa sukari

Niwe ki sugardaddy niwache sugarmummy
Bora nipate mdem anapenda bangi
Bora ako na account naweza weka ganji
Akikosa ganji najua siwezi kosa parking

Ukiamka kwenda church mi huamka kuvuta bangi
(Bangi bangi, bangi bangi)
Na kama hupendi bangi weh ni mtoto wa shetani
(Tani tani, tani tani)

Ukiamka kwenda church mi huamka kuvuta bangi
(Bangi bangi, bangi bangi)
Na kama hupendi bangi weh ni mtoto wa shetani
(Tani tani, tani tani)

Bangi, bangi, bangi...
Bangi, bangi, bangi...
Bangi, bangi, bangi...
Bangi, bangi, bangi...

Na kama hupendi bangi we ni mtoto wa shetani

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2020

Album : Bangi (Single)

Copyright : (c) 2020

Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

JUST IMAGINE AFRICA

Kenya

Just Imagine Africa is a band from Kenya led by Michael Mugo. Members include. Michael Mu ...

YOU MAY ALSO LIKE