Home Search Countries Albums

Ngumi ni Jamo

STOOPID BOY Feat. MADOCHO, PINGO, LIYETIN

Ngumi ni Jamo Lyrics


Madocho ni mjamo Kanairo
Kama haunauwo hautanauwo
Na kama unanauwo, utanauwo
Vitu kwa yogra ni gwan

Aii Gotta City
Ni mbogi ya watu wajanja gathee
Ngumi ni jamo ama ni vipi gathee
Stoopid, Stoopid Boys hapa chachisha
Ngumi ni jamo, ngumi ni jamo rrrrr aii

Ngumi ni jamo chorea mbwegze
Ngumi ni jamo chorea mbwegze
Ngumi ni jamo chorea mbwegze
Ngumi ni jamo chorea mbwegze

Ngumi ni jamo chorea mbwegze
Ngumi ni jamo chorea mbwegze
Ngumi ni jamo chorea mbwegze
Ngumi ni jamo 

[Liyetin]
Nigga sipendi your level
Look around check at the label
I am on the game ah mtu top
Kureach the level mambleina watremble

Ghetto is ruling the game
Kuroga kupora tufuate ka fame
Kwa jiji tupore masonko madem
Alafu tukutane kortini kuclaim

Buda sipendi vako za kukata
Ju hizi gwala huwa nazihata
Nipate street kutesa na looku
Ju hawa wareshi huwa wananifuata

Mgaza acheze ki Odi
Nakaa mshamba asakate rhumba
Maybe oneday hivi nikijipa
Itabidi nisare vako za mitumba aii

[Stoopid Boy]
Unadeal na maweb mi nadeal na maras
Unaimbia mashada na tire hujaipass
Unajidai ku owe na hujaishika macash
Ukinipata kwa roadi stoopid niachie das

We nigga hujai jua Stoopid goat anaiga
Washa mafegi bado mi navuta maciggar
Flow ikiwa kali si mafans wataiga

Ngumi ni jamo chorea mbwegze
Ngumi ni jamo chorea mbwegze
Ngumi ni jamo chorea mbwegze
Ngumi ni jamo chorea mbwegze

Ngumi ni jamo 
Ngumi ni jamo 
Ngumi ni jamo 
Ngumi ni jamo 

[Pingo]
Ngumi ni jamo ju chuki ni mingi kwa game
Zidi kunauwo hii gotta ni city ya fame
Vipi Shulailo kwa mziki utashikiwa dem
Na kama hudai doh, injili ya game ni gang

Wacha kutisha, cheza na visa
City napanda kupanda
Wale manigga mingi ni shida na kujigamba wamama
Wapi miujiza hapa kwa giza mbogi imefuata uganga
Na kama ni shida, gotta ni tiba
We si unalola ratiba

Ngumi ni jamo chorea mbwegze
Ngumi ni jamo chorea mbwegze
Ngumi ni jamo chorea mbwegze
Ngumi ni jamo chorea mbwegze

Ngumi ni jamo 
Ngumi ni jamo 
Ngumi ni jamo 
Ngumi ni jamo 

[Madocho]
Monchokaaaa!!!
Ngumi ni jamo eeh
Ngumi ni jamo eeh
Ngumi ni jamo 

(The Beat Killer)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Ngumi ni Jamo (Single)


Copyright : (c) 2020 Gotta City


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

STOOPID BOY

Kenya

Stoopid Boy is an artist from Kenya a member of Gotta City. ...

YOU MAY ALSO LIKE