Home Search Countries Albums

Panda Shuka

JUA CALI

Panda Shuka Lyrics


Panda shuka, panda shuka, panda shuka
Maisha ni panda shuka
Panda shuka, panda shuka, panda shuka
Maisha ni panda shuka
Panda shuka, panda shuka, panda shuka
Maisha ni panda shuka

Maisha nikupanda na kushuka
Stress imezi boy wangu anataka kujiua
Namuuliza shida iko wapi
Ananiambia shida ni mingi sijui aanzie wapi
Ananiambia works ilikatika na keja inafungwa
Anataka kupeleka watoi wake wawili wakae na guka
Wife nae amechoka antaka kujitoa
Kuna jamaa mzee amesema atampatia maisha poa
Maboy wake wote wa karibu wamemkimbia
Ata sistake mkubwa hataki kumkaribia
Bro wake ndogo tukona mbaya but simu hashiki
Amejipoteza mpaka alihamisha ile offisi ya jiji
Pombe kwa sasa ndio halisi
Cocaine ni brother na shash ni rafiki
Asipozitimia kichwa atalipuka
Asiposaidika boy wangu atajiua
Maisha ni kupanda na kushuka au sio
Eh!! Manze leo uko sawa kesho blunder
Ausio, eh! Manze lakini
Lazima jo tu roll na hizo blows manze ausio
Hivohivo strong, strong

Msanii nakuona uko juu unatesa
Events kila siku unaingiza pesa
Nakuona mtu wangu unaskia raha
Kila show unapiga venue unajaza
Hakuna kitu unaeza ambiwa we ndio kusema
Ntu wowote yukona shida we ndio unamjenga
Kila corner ya dunia unakanyaga
Kutoa Sydney mpaka Alabama
Biiboards kila mahali nani ka wewe
Ma collabo kila mahali nani ka wewe
Polepole kiburi inaingia kwa kichwa
Hautaki kukashifiwa wewe unataka tu sifa
Time nao imeenda ulisahau kuji investia
Magroupie ulikua nao ndio hao wamekimbia
Too late mtu wangu by the time unashtuka
Career yako ndio hio inashuka
Wasaniii, hii ndio time yaku invest mtu wangu
Unaskia? Hio ndio time yaku invest
Eh! Unatengeneza peza eeeeh
Wacha future yako pesa ikujenge ausio yeah aaah

Panda shuka, panda shuka, panda shuka
Maisha ni panda shuka
Panda shuka, panda shuka, panda shuka
Maisha ni panda shuka
Panda shuka, panda shuka, panda shuka
Maisha ni panda shuka

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Panda Shuka (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

JUA CALI

Kenya

Jua Cali real name Paul Nunda was born on the 12th September 1979.He started rapping when he wa ...

YOU MAY ALSO LIKE