Home Search Countries Albums

Maswali Kibao

JUA CALI

Maswali Kibao Lyrics


Maswali kibao
Maswali kibao
Eeeeeeeeh !!!
Maswali kibao

Chali yangu we ni mbigi utembea aje tao?
Naskia we ni mjanja uliamua kujenga aje hao?
Besides ngoma mtu wangu we ufanya nini?
Masiku zinaenda chali yangu utaoa lini?

Naskia ukihama we upitia watu mtaani?
Unajuana sana unaeza nisaidia kupata kazi?
Unaskuma gari gani mtu wangu
nikikualika utakuja birthday yangu?

Karibu kejani unapiga makali ama keg
We uingiza baridi kabla upande stage?
Kwa nini unaspell jina yako hivyo?
Unaongea mtu wangu kwa nini we uroga hivyo?

Maswali kibao
Maswali kibao
Eeeeeeeeh !!!
Maswali kibao

Unaongea sheng sana unajua kizungu kweli?
We si mtu wa kawaida we uskia njaa kweli?
Besides ngoma zako we huskiza nani mwingine?
Unacheka sana we ukasirika saa zingine?

We udeal aje na stress mtu wangu
We udeal aje na ma groupie mtu wangu
Vitu zako zimekubali we hushukuru Mungu
We ukumbuka zile siku zilikua ngumu

Kenya kubwa we ni kabila gani
Mungu mkubwa unafuata dini gani
We ni mwanaume kwa nini unafuga nywele hivyo
Ni siri gani unatumia kukaa kwa industry hivyo

Maswali kibao
Maswali kibao
Eeeeeeeeh!!!
Maswali kibao

Ulipanda matatu mwisho siku gani
Clemo ye ukua chini ya maji ye ni mtu design gani
Genge inamaanisha nini chali yangu
Ulifuta msoto siku gani chali yangu

Ulitoa wapi roho ya kuperform mbele ya watu wengi
Na ka hauperform we udunda wapi weekendi
Unajulikana sana we hutembea na id yako
Fan ja mimi unaeza mkaribisha kwako

Dishi gani inakubamba kabisa
Ngoma gani yako inakubamba kabisa
we uenda ocha kweli kucheki wazazi
Na una feel aje kukua JUACALI

Maswali kibao
Maswali kibao
Eeeeeeeeh !!!
Maswali kibao

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Maswali Kibao (Single)


Copyright : 2019 Calif Records.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

JUA CALI

Kenya

Jua Cali real name Paul Nunda was born on the 12th September 1979.He started rapping when he wa ...

YOU MAY ALSO LIKE