Sitaogopa Lyrics

[CHORUS]
Sitaogopa
Sitaogopa chochote
Utanitendea
Baba unaweza mambo yote
[VERSE]
Ninakungoja Yesu, njoo
Unionekanie
Naona ukitembelea wengine
Naomba, unikumbuke pia
Kwa nguvu zangu nimeshindwa
Niwezeshe nikutazamie
Mfalme wa amani
Ngao tena mlinzi
Nishikilie nisimame
[CHORUS]
Sitaogopa
Sitaogopa chochote
Utanitendea
Baba unaweza mambo yote
Sitaogopa
Sitaogopa chochote
Utanitendea
Baba unaweza mambo yote
[BRIDGE]
Vita utanipigania nitainuka
Na ushindi utanipa nitasimama
Vita utanipigania nitapaa
Na ushindi utanipa
Vita utanipigania nitainuka
Na ushindi utanipa nitasimama
Vita utanipigania nitapaa
Na ushindi utanipa
[CHORUS]
Sitaogopa
Sitaogopa chochote
Utanitendea
Baba unaweza mambo yote
Sitaogopa
Sitaogopa chochote
Utanitendea
Baba unaweza mambo yote
Sitaogopa
Sitaogopa chochote
Utanitendea
Baba unaweza mambo yote
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Sitaogopa (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
JOYCE OMONDI
Kenya
Joyce Omondi Waihiga is a gospel singer and songwriter who loves leading people in worshiping the Ki ...
YOU MAY ALSO LIKE