Naapa Lyrics
Macho yangu hayana pazia
Yamekuona wewe
Mchumba wewe
Moyo wangu ushukuzimia
Nakupenda wewe, mpenzi wewe
Na siunajua baby tukifa ni peponi
Mabaya siyaoni
Wee hauna dhambi
Kama ukiniacha mwenzako bila wewe
Imani itanitoka siunajua nakutii
Naapa kwashida naraha mi na wewe
Naapa kwa shida na raha milele
Basi tuyafanye marudio
Mechi langu tulio nipe lako sikio
Nakupenda jamani
Na sionajua moyo wangu hakuwahi
Kuuguza kidonda
Ikitokea radhi ntakuomba
Mi mwenzako nakupenda penda
Au labda mali zangu nkupe moyo wako
Kile kitu unapenda
Moyo wako nini unapenda
Nikotayari nitatenda tenda
Na siunajua baby tukifa ni peponi
Mabaya siyaoni
Wee hauna dhambi
Kama ukiniacha mwenzako bila wewe
Imani itanitoka siunajua nakutii
Naapa kwashida naraha mi na wewe
Naapa kwa shida na raha milele
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2023
Album : Naapa (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
JOVIAL
Kenya
Jovial , whose real name is Juliet Miriam Ayub is a Kenyan entertainer, singer, songwriter, vocalist ...
YOU MAY ALSO LIKE