Home Search Countries Albums

Mwazzara

CHRIS KAIGA

Read en Translation

Mwazzara Lyrics


Ukiona tukimwok kuna fom

Kumejaa Kong'o ya ma Gazala

Ona vile bash ime chrome

Utajua leo ni ku mwazzara

Niku mwazzara

Niku mwazzara

Utajua leo ni ku mwazzara

Niku mwazzara

Niku mwazzara

Utajua leo ni ku mwazzara

Hii si mahali ya luku chafua vi mwazzara

Ungebeba kibuyu kabala Tumbler

Kaa radar ya simu funika hata glass

Kumbuka pombe si supu karibia hata tap

Venye roho inagugu chunga heart attack

Ambia waiter akutibu tu na ma tialala

Ni nusu ya siku tu na zishashika

Naziskia ndani ya njumu ndani ya ma addidah

Habari gan, kwani fom ni gan

Kuna joto huku ndani na una cardigan

Unatupima nani, jaza ki party cup

I chase na energy drink uongeze stamina

Habari gan, kwani fom ni gan

Kuna joto huku ndani na una cardigan

Unatupima nani, jaza ki party cup

I chase na energy drink uongeze stamina

Ukiona tukimwok kuna fom

Kumejaa Kong'o ya ma Gazala

Ona vile bash ime chrome

Utajua leo ni ku mwazzara

Niku mwazzara

Niku mwazzara

Utajua leo ni ku mwazzara

Niku mwazzara

Niku mwazzara

Utajua leo ni ku mwazzara

Ko Ko Ko Call Police

Leo tunaekwa kwa List

Si wapoa wamehaa wajiskia kurisk

tuko bnd bnb after this

Na kabla ntoe form utanitolea Id

Kumeboeka hamnipati

nashika ma mita na maisha ni ya party

wanauluza ndovu kuwa babby au mnati

zoza ‘di wapoa wanashikana mashati

Sharti ako twenty three na ni mnasty

Ata sjamjua namesha tii

Baddie na kinywea ni mthirsty

Kwonyesha kivumbi ni dusty

siogi mguu tupu navalia pati pati

Pati uschoke vile miupenda kupati

wakinimezea hawanipatii

Shugli hukuwa yangu ni ya dhati

pale kati kati

tumewakalia kichapati

Ukiona tukimwok kuna fom

Kumejaa Kong'o ya ma Gazala

Ona vile bash ime chrome

Utajua leo ni ku mwazzara

Niku mwazzara

Niku mwazzara

Utajua leo ni ku mwazzara

Niku mwazzara

Niku mwazzara

Utajua leo ni ku mwazzara

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2025


Album : (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

CHRIS KAIGA

Kenya

Chris Kaiga is an artist from Kenya. He is best known for his unique flow in music and catchy phrase ...

YOU MAY ALSO LIKE