Home Search Countries Albums

You're My Morning Smile

Josephs Quartzy

You're My Morning Smile Lyrics

Cheki hawatuoni tuoni hawatuoni tuoni
Kwamba leo napiga honi honi
in the morning morning
Cheki hawatuoni tuoni hawatuoni tuoni
Kwamba leo napiga honi honi
in the morning morning

You're my morning smile I'll never let you go
You're my one and only and I want you to know
You're my morning smile I'll never let you go
You're my one and only and I want you to know

Sitaki niko vibe niko bedroom
Nataka pande flani mambo flani bumbum
Na vile niko deep na hilo bumbum
Hizi stimu zikate humuhumu
Ah you're my next door super learner
Na vile mama upo shallow tina tina
Na kwa bed we ni murderer sio learner
Ah Nakutaka tenatena We mafuta me na gia nakanyagia
We ni moto me ukuni nachochea
We story shilawadu nanyapia
Ka ni povu me funguzi natatua
You're my morning smile acha vile unavyowind
So take ila number one mamy
Let's shine mpaka jua lichomoze kama lina niko radhi
Nakukuna nikonyeze nipe hisa niwekeze
You're my one in a million thamani yako hawaioni
Kwangu zaidi ya tilioni yani wife material

Cheki hawatuoni tuoni hawatuoni tuoni
Kwamba leo napiga honi honi in the morning morning
Cheki hawatuoni tuoni hawatuoni tuoni
Kwamba leo napiga honi honi in the morning morning

You're my morning smile I'll never let you go
You're my one and only and I want you to know
You're my morning smile I'll never let you go
You're my one and only and I want you to know

Nataka niweke hisa tujenge maisha nikiwa nawe boo
Sihitaji kina jolisa makina malisa nakutaka wewe tu
Nataka daily kukikucha nikitupa shuka nikuone wewe tu
Me na we tuijenge future isiyovunjika ya milele boo
Hatutojali wakiteseka hawajui wapi tumetoka japokua hatujopata
Amini bado tunasaka you my bae big chatter
Napenda unavyonikamata vipi navyokukumbata mixer nnavyokupakata
Mpaka mornie mornie my baby we nibebe nikubebe
Alikotu kule tubebe japo life la kibabe
You're my one in a million thamani hawaioni
Kwangu zaidi ya tilioni yani wife material
You're my one in a million thamani hawaioni

Kwangu zaidi ya tilioni yani wife material
Cheki hawatuoni tuoni hawatuoni tuoni
Kwamba leo napiga honi honi inthe morning morning
Cheki hawatuoni tuoni hawatuoni tuoni
Kwamba leo napiga honi honi in the morning morning

You're my morning smile I'll never let you go
You're my one and only and I want you to know
You're my morning smile I'll never let you go
You're my one and only and I want you to know

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2020

Album : You're My Morning Smile (Single)

Added By : Bongo Times

SEE ALSO

AUTHOR

Josephs Quartzy

Tanzania

Josephs Quartzy is a Tanzanian singer-songwriter, actor, author,and a Digital creator serving as the ...

YOU MAY ALSO LIKE