Nakufeel Lyrics
Nakufeel nipende mimi jinsi mi nilivyo
I can't lie baby that I need you
So many girls here but I see you
Wewe nami, wewe nami hadi mwisho
Usitishike na hizo vitisho
Na hivyo ndo ilivyo
Hivo, hivyo
Si hivyo, hivyo
Saa zingine unanifanya
Mimi sikutamani
Kwanza vile unajifanya
Eti wewe hujali
But nakufeel
Nakufeel hii ni real
Skintone, lipgloss
All fine bummy
And if you wanna leave now
Go home
Skintone, lipgloss
All fine bummy
If you wanna leave now
Go home
Hivo, hivyo, hivyo, hivyo
Hivo, hivyo, hivyo, hivyo
Saa zingine unanifanya
Mimi sikutamani
Kwanza vile unajifanya
Eti wewe hujali
But nakufeel
Nakufeel hii ni real
Saa zingine unanifanya
Mimi sikutamani
Kwanza vile unajifanya
Eti wewe hujali
But nakufeel
Nakufeel hii ni real
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Nakufeel (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE