Umenipenda Lyrics
Nimekuona Mungu wa kuabudiwa
Na kutukuzwa Baba
Mungu wa Isaac, Shadrack, Meshack na Abednego
Mungu wangu leo oooh
Nimekuona Mungu wa kuabudiwa
Na kutukuzwa Baba
Mungu wa Isaac, Shadrack, Meshack na Abednego
Mungu wangu leoo oooh (Ee Yesu wee)
Pale nilipozimia moyo
Uliniuuwisha kwa lako pendoo
Ukanionesha upendo wako
Usio na sababu
Eeeh (Kati-Kati)
Katikati ya mawimbii makali
Bado moyo wangu utakutumaini
Nikikumbuka upendo wako usio na sababu
Umenipenda (Buree)
Pendo la Agape (Buree)
Lisilo na Madaii (Buree)
Umenipenda (Buree buree buree)
Umenipenda (Buree)
Pendo la Agape (Buree)
Lisilo na Madaii (Buree)
Umenipenda (Buree buree buree)
Ukafanyika fungu la posho yangu
Nyakatii mifukoo yangu imetobokaa
Ukaishika kula yanguu
Hukuniacha nifee njaa
Ukafanyika fungu la posho yangu
Nyakatii mifukoo yangu imetobokaa
Ukaishika kula yanguu
Hukuniacha nifee njaa
Pale nilipozimia moyo
Uliniuuwisha kwa lako pendoo
Ukanionesha upendo wako
Usio na sababu
Eeeh (Kati-Kati)
Katikati ya mawimbii makali
Bado moyo wangu utakutumaini
Nikikumbuka upendo wako usio na sababu
Umenipenda (Buree)
Pendo la Agape (Buree)
Lisilo na Madaii (Buree)
Umenipenda (Buree buree buree)
Umenipenda (Buree)
Pendo la Agape (Buree)
Lisilo na Madaii (Buree)
Umenipenda (Buree buree buree)
Ooooh....
Baba eee eee eee
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Mwamba (Album)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
JESSICA HONORE
Tanzania
Jessica Honore Kaziri is a gospel singer /vocalist from Tanzania. She comes from a musical ...
YOU MAY ALSO LIKE