Acha Yapite Lyrics
Amani kuwa ndani ya moyo wako
Ni muhimu kuliko maumivu ya moyo
Nauona moyo wa hasira
Juu yao watu wanao kulipa maovu
Inashangaza kuona
Ndugu au rafiki wa dhati
Wote hawa waweza
Kuwa maadui wa safari yako
Ule upendo wa dhati
Mungu anaotaka tuishi
Watu wameuacha
Chuki na hasira mioyo ni michafu
Acha yapite (japo kweli wanaudhi)
Acha yapite yote (wanakwaza wanakatisha tamaa)
Acha yaishe (japo waumia moyo)
Acha yaishe (unawaza jinsi gani waonewa)
Mimi najua (najua huna hatia hujakosa)
Mungu ajua yote’h (hata mungu anajua)
Acha yapite (japo kweli wanaudhi, wanakwaza wanakatisha tama)
Acha yaishe (japo waumia moyo unawaza jinsi gani waonewa)
Mimi najua (najua huna hatia hujakosa hata mungu anajua)
Waona
Mengi zaidi ya haya
Yakuudhi onewa na kusingiziwa
Nauona
Wema ndani ya moyo wako
Uliwapa watu na sasa hata hawajui
Kuwa na Yesu moyoni
Bora kuliko vita na watu
Moyo uwe huru usiyahesabu maudhi ya watu
Ndio upendo wa dhati, mungu anaotaka tuishi
Wa kuvumilia wa kuyasamehe na kuyasahau
Acha yapite (japo kweli wanaudhi, wanakwaza wanakatisha tamaa)
Acha yapite yote
Acha yaishe (japo waumia moyo, unawaza jinsi gani waonewa)
Acha yaishe yote
Mimi najua’h (najua huna hatia hujakosa, hata mungu anajua)
Mungu ajua yote’h
Acha yapite (japo kweli wanaudhi, wanakwaza wanakatisha tama)
Acha yaishe (japo waumia moyo unawaza jinsi gani waonewa)
Mimi najua (najua huna hatia hujakosa hata mungu anajua)
He he he
Chanzo cha amani yako (samehe na kusahau)
Haijalishi mangapi wamekudhi (yasamehe na kusahau)
Chanzo cha amani yako kweli (samehe na kusahau)
Haijalishi mangapi wamekudhi (yasamehe na kusahau)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Niku Mbuke (Album)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
JAPHET ZABRON
Tanzania
Japhet Zabron is a gospel artist, singer, gospel songwriter and a guitarist from Tanzania a mem ...
YOU MAY ALSO LIKE