Home Search Countries Albums

Wewe Ni Mungu

JANET OTIENO

Wewe Ni Mungu Lyrics


Misukosuko Safari
Sitaogopa Niko Nawe
Safari Yetu Sisi Wawili
Ni Mi Na We Hadi Milele
Yesu Weeee
Wewe Ni Rafiki
 Usiyechoka Na Madhaifu Yangu
Umewazidi Wote
Na We Una Uwezo
Mkono Wako Si Mfupi
Mungu Wa Mapendo
We Ni Jana Leo Na Milele Yote

We Ni Mungu
Wewe Ni Mungu
Mpasua Bahari
We Ni Mungu
Wewe Ni Mungu
Jina Lako Li Juu Ya Yote
We Ni Mungu
Wewe Ni Mungu
Mpasua Bahari
We Ni Mungu
Wewe Ni Mungu Mungu Mungu Mungu Mungu Wee

Bwana Popote Ulienda
Wewe Ulitenda Mema
Mipango Yako Ni Ya Wema
Na Umejawa Na Neema
Bwana Popote Ulienda
Wewe Ulitenda Mema
Mipango Yako Ni Ya Wema
Na Umejawa Na Neema

Wewe Si Mwepesi Wa Hasira
Huhesabu Maovu Na Hatia
Umetia Maneno Kwa Kinywa Changu
Na Sina Budi Nikuimbie

We Ni Mungu
Wewe Ni Mungu
Mpasua Bahari
We Ni Mungu
Wewe Ni Mungu
Jina Lako Li Juu Ya Yote
We Ni Mungu
Wewe Ni Mungu
Mpasua Bahari
We Ni Mungu
Wewe Ni Mungu Mungu Mungu Mungu Mungu Wee

We Ni Mungu
Oh Nimekuona
Ukitenda Maajabu
We Ni Mungu
Jina Lako Imanueli
Ulie Pamoja Nasi
We Ni Mungu
Wewe Ni Mungu
Unaepasua Bahari

Oh Milima
Haiwezi Simama Mbele Yangu
We Ni Mungu
We Ni Mungu

Pokea Sifa Zangu
Pokea Sifa Zngu
Pokea Utukufu Uuh

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Wewe Ni Mungu (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

JANET OTIENO

Kenya

Janet Otieno is a Kenyan Gospel Music Singer and Songwriter. She was born in Kisumu, Kenya, the seco ...

YOU MAY ALSO LIKE