Waitress Lyrics

I think this waitress likes me
Juu anani-finya finyia macho and keeps biting her lips
I think she's flirting with me
Mbele ya manzi yangu
Haogopi Mali yangu
Na vile ameiva
Anani-finya finyia macho
Finya finyia ah
Anani-finya finyia macho
Finya finyia ah
Anani-finya finyia macho
Finya finyia ah
Anani-finya finyia macho
Finya finyia ah
Temptation, Sensation, Flirtation na huyu dame
Ana macho za gololi na shingo ya upanga
Ana kiuno na haga
Vile nilimcheki, no lie anafanya mi ni kreki (Ayayaya)
Sa nitado? na sidai Taboo I can't be her boo (her her her boo)
Sa nitado? na sidai Taboo I can't be her boo, oh nananana
I think this waitress likes me
Juu anani-finya finyia macho and keeps biting her lips
I think she's flirting with me
Mbele ya manzi yangu
Haogopi Mali yangu
Na vile ameiva
Anani-finya finyia macho
Finya finyia ah
Anani-finya finyia macho
Finya finyia ah
Anani-finya finyia macho
Finya finyia ah
Anani-finya finyia macho
Finya finyia ah
I think she likes me
The way she's been biting her lips for me
I know she wants me, yeiih
Cause I can't deny
Umenipandisha pressure lakini mi sitoweza
I can't deny
Umenipandisha pressure lakini mi sitoweza (uuh ooh)
I think this waitress likes me
Juu anani-finya finyia macho and keeps biting her lips
I think, she's flirting with me
Mbele ya manzi yangu
Haogopi Mali yangu
Na vile ameiva
Anani-finya finyia macho
Finya finyia ah
Anani-finya finyia macho
Finya finyia ah
Anani-finya finyia macho
Finya finyia ah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Waitress (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
JADI
Kenya
Jadi is the African Story The 3 Member boy band comprising of Vince, Brandon & Ethan display imp ...
YOU MAY ALSO LIKE