Home Search Countries Albums

Bakhresa

HARMONIZE

Bakhresa Lyrics


Yeah
Konde boy call me number one, number one

Bila shaka haujawahi kumuona hata kwa sura
Boss wa karibia unacho kula
Huwezi muona kwa Tv ata kwa dharula
Ingawa yeye ndo nwenye king’amuzi
Hana time na mitandao yani kuuza sura
Yupe buzy na mafao pesa mlungula
Angetaka kupita nao wote angeshakula
Hana huo muda wa makuziii
Masikini anawapa mitaji wagawane na watu wazima
Huwezi muona kwenye picha na wajane au mayatima
Hawezi kujisifia nyumba wala magari range na bimaa
Riziki anagawa muumba jalajalali kikubwa uzima
Sura yake kwako lazima itakuwa ngeni
Uwenda ushapishana nae kwenye foleni
Maana sio mtu wa kupop mashampeni
Yeye sio limbukeni yeah

Mfano wa mtu mwenye pesa
Ooh pesa aaaah
We mtazame bakhresa (bakhresa)
Mfano wa mtu mwenye pesa aah
Ooh pesa aaaah
We mtazame bakhresa (bakhresa)
I wanna smoke some weed uuh uuh uuh

Bakhresa hajawahi kugombea cheo au kujisifu na maendeleo
Hawezi kushika pesa akazigawa hivi ushasikia bakhresa ana chawa
Akina tajiri mo kipenzi cha wana samba aah aah
Tunawaona insta wakicheza nakuimba aah aah aah
Charibu boss wa yanga na GSM
Yeye ana utaratibu wa kwenda kwa mkapa kucheki game
Sio mbaya ila uwezi kumuona bakhresa akijisifu na pesa
Na majigambo rumbesa (bakhresa aah aah)
Ntanzania pekee aliyee juu ya bakhresa ni raisi
Wa jamuhuri maana yeye ni taasisi
Ooh and guess what mama yuko peace
Na ukimuona ametokea akiongea ni kwaajili yetu sisi
Wakati unajigamba wa mbezi beach
Bakhresa ana mashamba huko kijichi
Ebu acha ushamba pesa haijifichi
Eti I gat too much money am so rich

Mfano wa mtu mwenye pesa
Ooh pesa aaaah
We mtazame bakhresa (bakhresa)
Mfano wa mtu mwenye pesa
Ooh pesa aaaah
We mtazame bakhresa (bakhresa)
I wanna smoke some weed uuh uuh uuh

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Bakhresa (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

HARMONIZE

Tanzania

Harmonize, born Rajab Abdul Kahali on 3 October 1991 in Mtwara, Tanzania, is a Tanzanian singer ...

YOU MAY ALSO LIKE