Nitasimamaje Lyrics

Isaya Kiungi - Nitasimamaje lyrics
Moyo wangu umejua wazi
Bila we siwezi tembea
Wewe ndiye Mungu Mwenyezi
Ugo umenizungushia
Moyo wangu umejua wazi
Bila we siwezi tembea
Wewe ndiye Mungu Mwenyezi
Ugo umenizungushia
Uliefanya jua na mwezi
Ukafanya nyota pia
Ukaumba nyangumi baharini
Ukaniumba mimi pia
Uliefanya jua na mwezi
Ukafanya nyota pia
Ukaumba nyangumi baharini
Ukaniumba mimi pia
Umepepeta kuenenda kwangu
Umepepeta mawazo yangu
Umepepeta kulala kwangu
Oooh daddy
Hatua zangu zitasimamaje?
Bila wewe nitasimamaje?
Akili yangu itasimamaje?
Bila wewe Bwana
Hatua zangu zitasimamaje?
Bila wewe nitasimamaje?
Akili yangu itasimamaje?
Bila wewe Bwana
Wengine hutegemea mawazo yao
Na wengine hutegemea ufahamu wao
Na wengine hutegemea tunguli zao
Na wengine hutegemea akili zao
Ila kwako mimi, nitasimama
Maana Bwana wee, waniwazia mema
Ila kwako mimi, nitasimama
Umenitegemeza
Ila kwako mimi, nitasimama
Maana Bwana wee, waniwazia mema
Ila kwako mimi, nitasimama
Umenitegemeza
Umepepeta kuenenda kwangu
Umepepeta mawazo yangu
Umepepeta kulala kwangu
Oooh daddy
Hatua zangu zitasimamaje?
Bila wewe nitasimamaje?
Akili yangu itasimamaje?
Bila wewe Bwana
Hatua zangu zitasimamaje?
Bila wewe nitasimamaje?
Akili yangu itasimamaje?
Bila wewe Bwana
Mie nitasimamaje, nitasimamaje
Oooh daddy, bila wewe, mimi eeh
Mimi eeeh...
Hatua zangu zitasimamaje?
Bila wewe nitasimamaje?
Akili yangu itasimamaje?
Bila wewe Bwana
Hatua zangu zitasimamaje?
Bila wewe nitasimamaje?
Akili yangu itasimamaje?
Bila wewe Bwana
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Nitasimamaje (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE