Taniua Lyrics
Taniua, Hitman ting hitman ting,
Aah taniua, Badman ting badman ting
Taniua, Hitman ting hitman ting
Aah taniua
Na kwa ground vitu different
Hawa kwela taniua(Taniua)
Cheki ah na ground vitu different
Hizi vela taniua(Taniua)
Cheki ah, hawa makwela nawatoka tu kimetrix
Buda nimechill ka Netflix, ka Netflix
Kila corner wanadai tu mechi
Walitii Olunga vile mi ni Messi
Utaniua hawa makwela joh ni Hessy(Taniua)
Taniua hizi vela na makesi(Taniua)
Shukuru Mola vile mi ni mtu Chelsea(Taniua)
Juu Man U siku hizi tu ni jezi(Taniua)
Skylarking nachapanisha ngeus
Benzema ameeka parking
Real shit nigga, no acting
Man a badman original no sampling
Na kwa ground vitu different
Hawa kwela taniua(Taniua)
Cheki ah na ground vitu different
Hizi vela taniua(Taniua)
Na kwa ground vitu different
Hawa kwela wataniua(Taniua)
Cheki ah na ground vitu different
Hizi vela taniua(Taniua)
Na kibeng na kibeng
Freaky girl anadai tuget physicall
Fiti so fine body nice anadai kuripoti
A gwan ati nilikuwa na Nicole
Sare urazi na udaku wa ploti
Mi humcheki tu mtaa she is so fine
Jegi check, sianda check
She so ripe with a big bumper, nikuzirai
Big things a gwan, ndio zinadai
Drop shatter siwezi hata, no sir
Compe ni nare kubanja kula kashata
Cheki paja tako matata
Combinare ivisha rangi ina haga
Na kwa ground vitu different
Hawa kwela taniua(Taniua)
Cheki ah na ground vitu different
Hizi vela taniua(Taniua)
Na kwa ground vitu different
Hawa kwela wataniua(Taniua)
Cheki ah na ground vitu different
Hizi vela taniua(Taniua)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Taniua (Single)
Copyright : (c) 2020 Bridge Records.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
HITMAN KAHT
Kenya
Hitman Kart is an artist/producer from Kenya. Member of 34GVNG and CEO Bridge Records. ...
YOU MAY ALSO LIKE