Home Search Countries Albums

Nakuhitaji

GRAHAM BUKHAYA

Nakuhitaji Lyrics


Zaidi ya pumzi uliyo nipa
Zaidi ya nguvu ulio nipa
Zaidi ya mamlaka uliyo nipa
Zaidi ya uwezo ulio nipa
Zaidi ya pumzi uliyo nipa
Zaidi ya nguvu ulio nipa
Zaidi ya mamlaka uliyo nipa
Zaidi ya uwezo ulio nipa

Nakuhitaji, Nakuhitaji Yesu
Wewe pumzi
Wewe nguvu yangu
Nakuhitaji, Nakuhitaji Yesu
Wewe pumzi
Wewe nguvu yangu

Uwepo wako, ukae ndani yangu
Kila saa kila wakati
Neno lako taa ya miguu yangu mwangaza kwa njia zangu
Umenizingira na upendo wako
Kila saa kila wakati
Ukanifiche kivulini pa mabawa yako, nakuhitaji

Nakuhitaji, Nakuhitaji Yesu
Wewe pumzi
Wewe nguvu yangu
Nakuhitaji, Nakuhitaji Yesu
Wewe pumzi
Wewe nguvu yangu

Njoo njoo
Njoo njoo ndani yangu
Unihuishe nafsi yangu, nitembee kwa njia za haki
Njoo njoo
Njoo njoo ndani yangu
Nitembee kwa njia inayo faa, nikae karibu na weeeee

Nakuhitaji, Nakuhitaji Yesu
Wewe pumzi
Wewe nguvu yangu
Nakuhitaji, Nakuhitaji Yesu
Wewe pumzi
Wewe nguvu yangu
Nakuhitaji, Nakuhitaji Yesu
Wewe pumzi
Wewe nguvu yangu
Nakuhitaji, Nakuhitaji Yesu
Wewe pumzi
Wewe nguvu yangu

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Nakuhitaji (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

GRAHAM BUKHAYA

Kenya

Graham Bukhaya is a gospel worship recording artist ...

YOU MAY ALSO LIKE