Tunda la Roho Lyrics
Kokokorikokoko
Jogoo linawika asubuhi na mapema
Penzi lanikaba koo
Na maneno matamu nashindwa kusema
Mpenzi hello
Barafu wangu wa moyo sijui unanisikia
Mie mwenzako ukitoa yako sauti
Nanyong'onyea
Kajiandae upendeze mami
Tutoke tukajienjoy
Twende na Akothee Safaris
Mbali tukajivinjari
Ukitaka Malindi Watamu tuetaenda
Kwenye mbuga za wanyama ooh
Ama kwetu nyumbani tutaenda
Wakakuone daddy na mama yoo
Nenda kamwambie mama
Nimepata kimwari anayenijali
Nampenda sana, pendo langu kwake
Nimelitia kufuli
Tunda la roho
Niko naye mpaka usiku tufunge ndoa eeh
Tunda la roho yangu eeh
Chunga penzi letu wasilitie doa
Pole pole mambo yatajipa usiwaze mami
Ukuwe mpole yoyo
Lishikilie penzi lisianguke asilani
Kwetu hakuna mishikaki
Wala chips nyama choma
Maji ni ya mtoni mami
Hakuna mineral water
Kajiandae upendeze mami
Tutoke tukajienjoy
Twende na Akothee Safaris
Mbali tukajivinjari
Ukitaka Malindi Watamu tuetaenda
Kwenye mbuga za wanyama ooh
Ama kwetu nyumbani tutaenda
Wakakuone daddy na mama yoo
Nenda kamwambie mama
Nimepata kimwari anayenijali
Nampenda sana, pendo langu kwake
Nimelitia kufuli
Tunda la roho
Niko naye mpaka usiku tufunge ndoa eeh
Tunda la roho yangu eeh
Chunga penzi letu wasilitie doa
Moyoni nina vidonda vya roho
Usijenitoneshaga
Nimedata na penzi lako
Usijekunimwaga
Moyoni nina vidonda vya roho
Usijenitoneshaga
Nimedata na penzi lako
Usijekunimwaga
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Tunda la Roho (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
HARUN DEEY
Kenya
Harun Deey (Bossdon) is an East African musician, singer and songwriter from Kenya. ...
YOU MAY ALSO LIKE