Aibu Yao Lyrics
Harmo kiboko yao
Zaidi ya baba lao
Nipo kimya ndo jibu lao
Kwenye show nasepa kijiji chao
Aiyayayaya wanalia
Aiyayayaya wanaumia
Aiyayayaya wanalia
Aiyayayaya wanaumia
Aibu yangu aibu yao eeh (Aibu yaoo)
Aibu yangu aibu yao eeh (Aibu yaoo)
Babe babe babe zina aminia
Nikipita kwa nyuma zinaniangalia
Babe babe babe zina aminia
Nikipita kitaani zinanishangilia
Kunjua, kunjua nafsi kunjua
Kunjua kunjua, kunjua nafsi kunjua
Kunjua kunjua, kunjua nafsi kunjua
Kunjua kunjua, kunjua nafsi kunjua
Nipo kama siko
Cheki nilivyo kama sivyo
Nikiwa sipo wanasema
Harmo hivi Harmo vile
Kiboko ya mabishoo
Mtu mbadi
Kiboko ya mabishoo
Aah tupa kule
Aibu yangu aibu yao eeh (Aibu yaoo)
Aibu yangu aibu yao eeh (Aibu yaoo)
Babe babe babe zina aminia
Nikipita kwa nyuma zinaniangalia
Babe babe babe zina aminia
Nikipita kitaani zinanishangilia
Kunjua, kunjua nafsi kunjua
Kunjua kunjua, kunjua nafsi kunjua
Kunjua kunjua, kunjua nafsi kunjua
Kunjua kunjua, kunjua nafsi kunjua
Kiboko ya mabishoo
Mtu mbadi
Kiboko ya mabishoo
Aah tupa kule
Aibu yangu aibu yao eeh (Aibu yaoo)
Aibu yangu aibu yao eeh (Aibu yaoo)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Aibu Yao (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE