Home Search Countries Albums
Read en Translation

Yeye Lyrics

There is time I talk myself

I can’t be surprised no more God

Omeni shangaza, oyarunia mengi

Leoni me gundu wa utofauti katia raha nafura

I didn’t know that ye dunia ina mambo

Iti kumbe kura utofauti, katia raha nafura yeh

Shetani alinizoanga mungu simuoni basi nikajiona ka niko peponi

Kila siku unaenjoy pombe zimenichosha nipupoyi eh

Dunia ina siri si kika aliyeokoka mbingini atafika eh

Lord of mercy, nishagundua furaha yangu ni wewe

Hata binadamu wakinikimbia baba unabaki wewe

I don’t really care wakinichukia ukinipenda wewe

Hata niwe na madeni nisemeni atawajibi yeye

Hata kifa nizikwe kwa jina lake yeye

Why you so good to me that

Ninajua sitazalaurika sitokamatika kwa umenishika

Sometimes a smoke kana tetemika

Bado unanishika hujabadilika

Of course umeniumba kwa mfano wako

Kila nilicho na chon i mikono yako

I never fall down without bila matakwa yako

Wachawi fitina wote waja

Shetani alinizoanga mungu simuoni basi nikajiona ka niko peponi

Kila siku unaenjoy pombe zimenichosha nipupoyi eh

Dunia ina siri si kika aliyeokoka mbingini atafika eh

Lord of mercy, nishagundua furaha yangu ni wewe

Hata binadamu wakinikimbia baba unabaki wewe

I don’t really care wakinichukia ukinipenda wewe

Hata niwe na madeni nisemeni atawajibi yeye

Hata kifa nizikwe kwa jina lake yeye

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2025

Album : (Single)

Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

HARMONIZE

Tanzania

Harmonize, born Rajab Abdul Kahali on 3 October 1991 in Mtwara, Tanzania, is a Tanzanian singer ...

YOU MAY ALSO LIKE