Home Search Countries Albums

Nishachoka

HARMONIZE

Nishachoka Lyrics

Kila chenye marefu na mapana huwaga hakikosi mwisho
Yanini kurumbana kukicha bila suluhisho
Wenda kisicho ridhiki hakiliki sa ya nini tutoane roho
Nimepungukiwa kipi mbna naishi sina ata jiba la roho
Na ule utwana wa mapenzi kushindana mi na ww
Niliuvumilia na sijaona tamaa
Sio kama siwezi kupata alie zaidi ya wewe
Ila hii dunia na najichunga sanaa
Kila chenye marefu na mapana huwaga hakikosi mwisho

Tena naandika huu wimbo usijpe moyo labda nakufikiria
Nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo ukome kunifatilia
Naandika huu wimbo usijipe moyo labda nakuwaza sana
Nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo ukome kunilili.(eeh)
Nishachoka nishachoka nishachoka wacha ukweli nikwambie
Yani kukicha vijembe (nishachoka) dharau maneno
(Nishachoka) ooh masimango nishachoka wacha ukweli nikwambie
Nimechoshwa nawe
Kila donda lina historia badala ya moto majivu
Mangapi niliyavumilia adi nkakonda kwa wivu
Kipato cha jasho langu ulikidharau na kukinyanyasa kisa anasa
Angalau mm nshakuzoea
Dharau mama yangu hajakukosea
Huwaga navuta taswira ule utumwa wa penzi lako
Mpk najiona taira
Kuyahifadhi mabaya yako
Ukimjinga pedi unamatilapa nikapenda
Upepo kwenye begi
Au maji ndani ya tenga

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2017


Album : Nishachoka (Album)


Copyright : ©2017


Added By : Trendy Sushi

SEE ALSO

AUTHOR

HARMONIZE

Tanzania

Harmonize, born Rajab Abdul Kahali on 3 October 1991 in Mtwara, Tanzania, is a Tanzanian singer ...

YOU MAY ALSO LIKE