Home Search Countries Albums

Dear X

HARMONIZE

Dear X Lyrics


Inaniumiza ooh
Hello

Dear ex nimepata tetesi
Za kwanda unanisema ili nionekane si mwema
Pengine una stress, mara umekonda mwepesi
Kwangu ukinya si ukilema ila unachunga vya kusema
Maana niliubeba msalaba ikawa mimi ndo mama mmi ndo baba
Nikajichanga tujaze kibaba mbona husemi
Kiumbe nilishukuru nikapangusa ma tako nikakuacha uende
Ukawe huru urejee na duka ni vyako nibaki na ma kende
Na kama ulidhani nitafeli
Unangoja basi uko feri
Siku nikikewa nitasema ukweli
Inchi ilivyo na matapeli
Sina hasira wala kinyongo, ila sipendi uongo
Vijembejembe na madongo ukitaka kutrend round hii hainaga
Hainaga kutia huruma
Hainaga kutia
Hivi tuseme ndo nimejipata
Hainaga kutia huruma
Hainaga kutia
Maana mbona nazidi kutakata
Hainaga kutia huruma
Hainaga kutia
Hainaga kutia
Hainaga kutia

Eeh
Peke yangu singeweza, singeweza
Kuna kitu mungu kaniongeza, kaniongeza
Ona nazidi kupendeza, ninapendeza
Na nipo busy na fedha, let’s talk about
Unachekacheka tukuone umemove on
Mara unatuonyesha vya nguoni
U hali gani uko moyoni sema, sema
Unachekacheka tukuone umemove on
Mara unatuonyesha vya nguoni
U hali gani uko moyoni sema, sema
Na kama ulidhani nitafeli
Unangoja basi uko feri
Siku nikikewa nitasema ukweli
Inchi ilivyo na matapeli
Sina hasira wala kinyongo, ila sipendi uongo
Vijembejembe na madongo ukitaka kutrend round hii hainaga
Hainaga kutia huruma
Hainaga kutia
Hivi tuseme ndo nimejipata
Hainaga kutia huruma
Hainaga kutia
Maana mbona nazidi kutakata
Hainaga kutia huruma
Hainaga kutia
Hainaga kutia
Hainaga kutia

Hello dear ex

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Dear X (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

HARMONIZE

Tanzania

Harmonize, born Rajab Abdul Kahali on 3 October 1991 in Mtwara, Tanzania, is a Tanzanian singer ...

YOU MAY ALSO LIKE