Baba Lyrics
Mungu wangu, Baba yangu
Umejawa na sifa, umejawa na sifa
Mungu wangu, Baba yangu
Umejawa na sifa, umejawa na sifa
Umezungukwa na upinde wa mvua
Utukufu ni vazi lako bwana, ewe bwana
Wewe ni Mungu kwa sababu
Unafanya mambo tusiyoweza kuyafanya, kuyafanya
U zaidi ya vionekanavyo
U zaidi ya maneno
U zaidi ya vionekanavyo
U zaidi ya maneno
Wewe ndiwe baba yangu ee (Baba ee)
Wewe ndiwe baba yangu ee (Baba ee)
Alpha Omega ee (Alpha Omega)
Alpha Omega (Mwanzo na mwisho)
Wewe ndiwe Mungu wangu ee (Baba ee)
Wewe ndiwe maficho yangu ee (Baba ee)
Alpha Omega ee (Alpha Omega)
Alpha Omega (Mwanzo na mwisho)
Wewe ndiwe baba yangu ee
Ulifanya njia pasipo na njia
Adui zangu walipofuata nyuma
Mawimbi yakawaangamiza
Hujawahi niacha
Wala kunipungukia wee
Unapigana na wanaopigana nami
Unashindana na wanao shindana nami
Umenifanya punde kidogo
Kuliko ukuu wako
Umenivika na taji ya heshima
Na mamlaka yote na uzima
Umenifanya punde kidogo
Kuliko ukuu wako
Umenivika na taji ya heshima
Na mamlaka yote na uzima
Wewe ndiwe baba yangu ee (Baba ee)
Wewe ndiwe baba yangu ee (Baba ee)
Alpha Omega ee (Alpha Omega)
Alpha Omega (Mwanzo na mwisho)
Wewe ndiwe nguvu yangu ee (Baba ee)
Provider protector yangu ee (Baba ee)
Alpha Omega ee (Alpha Omega)
Alpha Omega (Mwanzo na mwisho)
Wewe ndiwe baba yangu ee
Wewe ndiwe mwamba yangu ee (Baba ee)
Wewe ndiwe nguvu yangu ee (Baba ee)
Alpha Omega ee (Alpha Omega)
Alpha Omega (Mwanzo na mwisho)
Wewe ndiwe baba yangu ee (Baba ee)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : The Message (EP)
Copyright : (c) 2021 Gripa Music
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE