Home Search Countries Albums

Mugambo Lyrics


Mungu amenipa kutembea, hatua mbele
Eh kama mugambo, hatua mbele
Yesu amenipa kutembea, hatua mbele
Eh kama mugambo, hatua mbele

Mungu amenipa kutembea, hatua mbele
Eh kama mugambo, hatua mbele
Yesu amenipa kutembea, hatua mbele
Kama kama mugambo, hatua mbele

Sadaka gani mimi nitoe
Ah ona favour amenipa favour
Cheko gani mimi nicheke?
Ona happy moyo uko happy

Ameweka ujasiri wa ki afande
Oh siogopi vita twende 
Ameweka ujasiri acha nitambe
Oh siogopi weka twende 

Yaani hapa na dori, dori d
Mambo hapa
Nimevikwa na koti, koti ti
Mambo super

Machozi yalinitoka yalinitoka 
Yalinitoka 
Mtesi alinitesa, alinitesa
Alinitesa

Nikifuta kushoto
Hata kulia ya moto
Eh yaani kama mtoto
Amefunika matoto 
Oluwa i Femi

Hatua mbele, hatua mbele
Hatua mbele, hatua mbele
Hatua mbele, hatua mbele

Mungu amenipa kutembea, hatua mbele
Eh kama mugambo, hatua mbele
Yesu amenipa kutembea, hatua mbele
Eh kama mugambo, hatua mbele

Mungu amenipa kutembea, hatua mbele
Eh kama mugambo, hatua mbele
Yesu amenipa kutembea, hatua mbele
Kama kama mugambo, hatua mbele

Oooh, oooh
Oooh, oooh
Oooh, oooh

Oga oga, Baba I thank You
Umefanya kama -- Lord I thank You
Oh oga oga, Jesus I thank You
Unenipa mihuri ya heshima oh baba

Tena sio sifuri nina majina majina
Siku hizi boss, ah mheshimiwa
Ametoa kibali huku ni mambo sawa
Siandamwi madeni ameniponya Bwana
Ni Yesu amefanya sasa wasiwasi wa nini
Na Mungu akitenda unabakia kileleni

Oga oga, Baba I thank You
Umefanya kama -- Lord I thank You
Oh oga oga, Jesus I thank You
Unenipa mihuri ya heshima oh baba

Kijeshi, eh eh eh

Mungu amenipa kutembea, hatua mbele
Eh kama mugambo, hatua mbele
Yesu amenipa kutembea, hatua mbele
Eh kama mugambo, hatua mbele

Mungu amenipa kutembea, hatua mbele
Eh kama mugambo, hatua mbele
Yesu amenipa kutembea, hatua mbele
Kama kama mugambo, hatua mbele

Neno linasogea kama mgambo
Mgambo wajali hali ya hewa
Hata kama mvua atuombee
Mgambo wajali kuendelea

Kama commando, commando comma
Kama commando, commando comma
Kama commando, commando comma
Kama commando, commando comma

Mungu amenipa kutembea, hatua mbele
Eh kama mugambo, hatua mbele
Yesu amenipa kutembea, hatua mbele
Eh kama mugambo, hatua mbele

Mungu amenipa kutembea, hatua mbele
Eh kama mugambo, hatua mbele
Yesu amenipa kutembea, hatua mbele
Kama kama mugambo, hatua mbele

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Mugambo (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

GOODLUCK GOZBERT

Tanzania

Goodluck Gozbert is a Bongo Gospel Artist/Singer from Tanzania ...

YOU MAY ALSO LIKE