Hauezi kushindana Lyrics
Hapa nilipo mimi
Ni kwa neema ya Mungu
Vile nilivyo mimi
Ni kwa neema ya Mungu
Nimetoka mba toka mba toka mbali nimetoka mbali
Ainuliwe Mungu wangu juu
Atukuzwe Mungu wangu juu
Ah ni kwa neema
Ni kwa neema tu
Neema
Na rehema
Neema
Sio kitu rahisi
Mungu tu anasaidia
Sio kazi nyepesi
Mungu tu anasaidia
Si kutegeme tegeme tegemea si kutegemea
Aunuliwe Mungu wangu juu
Asifiwe Mungu wangu juu
Ni kwa neema tu
Neema
Na rehema
Neema
Uzima ulio nao
Umepewa na Mungu
Uhai ulio nao
Umepewa na Mungu
Uwezo ulio nao
Umepewa na Mungu
Mali ulizo nazo
Umepewa na Mungu
Ebu jiuli jiuli juilize umetenda tendo gani jema
Asifiwe Mungu wangu juu
Atupaye vyovyote
Ni kwa neema tu
Neema
Na rehema
Neema
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Hauwezi Kishindana (Single)
Copyright : ©2018
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
GOODLUCK GOZBERT
Tanzania
Goodluck Gozbert is a Bongo Gospel Artist/Singer from Tanzania ...
YOU MAY ALSO LIKE