Genge Lyrics

Ka nimekosea nisamehe
Sijadhamiria mama ninachotaka tujenge
Mi na wewe
Ila mama mambo mengine utazame
Ka twaishi vyema mama ni hiki kigenge
Unanijua na wewe
Asa usipo ongea na watu vipi ni uzee
Nisipo cheka na watu iweje nikutunze mama
Mwenyewe wajuwa siwambili
Wala tatu vipi nijikuze
Kina chamaji matitu
Haina budi nijishushe mama
Mwenyewe na elewa wivu
Hukaa ndani ya moyo wenye upendo
Ila jua wako ustamilivu
Ndiyo nguzo ya wetu mwendo
Naanzaje me kukuchiti
Mwenyewe unajua navyokupenda
Nakupambania ili we uweze kuishi vyema
Kweli jinsia tofauti hazinaga urafiki
Kwa ajili yako yote natenda
kwengine sinto angalia
Amini wendo chanda chema
Basi usijali
Mama usijali
Hivyo usijali
Babe usijali
Amini kwangu we ua na mimi boga
Asa kwengine nifate kwanini
Kisa vipicha picha usije ukalitupa
Likaja liwa na chatu
Ni kweli hofu na uwoga
Ila mapenzi hujengwa na imani
Usijehisi nakuficha mpenzi ukanitupa
Nikaja chekwa na watu
Aaaah ndo niuze ndizi na nyanya
Nasi tupate tule
Vipi nisipo ongea nao
Njaa ukija ilala mama
Vikaroti vibiringanya
Wajana dada yule
Ndo kila wiki
Huchukuwaga jumla jumla mama
Naanzaje me kukuchiti
Mwenyewe unajua navyokupenda
Nakupambania ili we uweze kuishi vyema
Kweli jinsia tofauti hazinaga urafiki
Kwa ajili yako yote natenda
kwengine sinto angalia
Amini wendo chanda chema
Basi usijali
Mama usijali
Hivyo usijali
Babe usijali
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Genge (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Golden Buzz
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE