Neno lako Lyrics
Hallelujah Haleluya amen
Limeinuliwa limeinuliwa neno lako oh
Kama vile jana ina nguvu leo na milele
Limeinu limeinuliwa neno lako oh
Kama vile jana lina nguvu leo na milele
Oh Kama vile jana lina nguvu leo na milele .
Linazidi nguvu kuta za Yeriko
Linaamuru maji kutoka mawe jangwani
Hili neno lako limeinuliwa
Limebeba neema ya waliosaulika
Linajibu maombi iliyopita kutarajiwa
Neno lako umesema
Haleluya amen oh
Kama vile jana lina nguvu leo na milele
Limeinuliwa limeinuliwa neno lako
Kama vile jana lina nguvu leo na milele
Limeinuliwa limeinuliwa neno lako
Kama vile jana lina nguvu leo na milele
Linazidi nguvu kuta za Yeriko
Linaamuru maji kutoka mawe jangwani
Hili neno lako limeinuliwa
Limebeba neema ya waliosaulika
Linajibu maombi iliyopita kutarajiwa
Neno lako umesema
Unasema unatenda tutazame tukusifu
Unasema unatenda tutazame tukusifu
Limeinuliwa limeinuliwa neno lako
Kama vile jana lina nguvu leo
Limeinuliwa limeinuliwa neno lako
Kama vile jana lina nguvu leo na milele
Kama vile jana lina nguvu leo na milele
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Neno lako (Single)
Copyright : ©2018
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
GODWILL BABETTE
Kenya
Godwill Babette is a Kenyan Gospel artist, worship leader, Video director/script writer, Songwriter ...
YOU MAY ALSO LIKE