CHINI Lyrics
Alivyoumbika na macho ya kusinzia
Nyuma tela mgongo kanisusia
Yaani haelezeki, eeh eeh eeeh
Yake nyonga, mfupa haina
Akinyonga mi na mimina
utamu wake zaidi ya tende, vipi nisimpende?
Yeye mtoto sexy ana dakokoro
Chumbani ananichezea, dah dombolo
anavyofonza switi ya kongoro hapo kimembe
Eeeya, vipi maganda akaivua
Kichaa kimenipanda mie yaani
Toto linavyo vishanga
Najipapasa kinandani ndani
Chini, chini, chini, chini
Chini nyonga chini, chini, chini, chini
Raha zote chini nini, chini, chini, chini
Chini baby nyonga, chini, chini, chini
Umogele baby adele
Nawile jimwage mwelele
Izungushe kama antenna
Ikofika kwangu ni mapema
Waya, Unanijua very well
Unanipatia mimi very well
Huyu mwana bado mwari, ni mdodo
Chuchu kama msumari, ni mdodo
Anipa kimo ya hatari, ni mdodo
Tamu kama sukari, ni mdodo
Asa beiby, tudende
Eeeh eeh tudende kule
Wako chizi nirembe
Eeeh eeh sijaenda shule
Twende mpaka down
Chini, chini, chini, chini
Baby nyonga chini, chini, chini, chini
Raha zote nipe chini, chini, chini, chini
Baby nyonga chini, chini, chini, chini
Katoga pini kwa ulimi, hatari
Toto fundi kama jini, daktari
Kama kupe uning'ang'anie, iye
Nipe vitu konki nitulie
Ilete mpaka down, down down
Ishushe mpaka down, down down
Baby yote yako
Ifikishe kunako
Kwa michezo ya jang'ombe, nor mdodo
Uno the kusaka tonge, nor mdodo
Toto linavomwagika hivyo, nor mdodo
Tena linataka sifa hilooo
Twende mpaka down
Chini, chini, chini, chini
Chini baby nyonga, chini, chini, chini
Raha zote chini nini, chini, chini, chini
Chini baby nyonga, chini, chini, chini
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Chini (Single)
Copyright : All rights to the owner.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
GIB CARTER
Tanzania
GIB Carter, is a Tanzanian artist/producer Gib Carter is a Tanzanian electronic and pop mus ...
YOU MAY ALSO LIKE