Home Search Countries Albums

Kidungi Cover (Mbogi Genje)

GHETTO ICONS

Kidungi Cover (Mbogi Genje) Lyrics


Utageuzwa kichungi 
Kila zing amejidaisha kidungi
Ground nare utageuzwa kichungi
Hiyo riang' yenyu ya kusaka title
Heri nikamedi hata na ki ital
Siwezi mind ukichoose kuwa rival
Juu Militan amekuja na ki-riftle

Mandaki zao tunapiga mosheki
Juu walikatanga kutukatia keki
Mkidai mkakuje na mavedi
Tutakuwa zabe tukisetingi mahedi
Kupona manangos si tunadungaga magive
Jaza full clip juu nimefika maibe
Tukisnadi tunakaanga kila ngite
Tuko shughli hatusare hadi manjije

Waliring mtakula ma viding ju
Hamjui vile si husakanga vushying 
Si ndo wale wazing
Senke tuko baze tuko jing
Tukiload magazine utabaki tu kwa scene

Mi nadai nyi magwete msonge huko kando
Ju mi ndo mtambo na nacheza kama Rambo
Nawakata kama mango kuwarusha kwa mtaro
Na ka una mambo we mlazi kula vako(Mlazi kula vako)
Mi namada kama Vandetta na nitafanya mtaniteta
Mi ni mateka juu nishawateka na ni kidungi mi nachekesha
Goon man tunakanga kanga wale wote tunajua ni warazi

Kwa warosho mafala wanaivisha
We jichoche ndio buda ukapita
Ni kunare utapiganishwa tisa
Na ukichachisha hakuna vile utabakishwa

Vibe Ngenje ndio riang' 
Ukisleki utapata mashashola zimeland
Mr Man, mistari zikigwan 
Nazindua maga kisha shola na kimash
Tumebonda na maLugz 
Leta ufala hutabakishwa na mathugs
Dudi maths, tunasaka saka shagz one way kama fisi
Na time ya kureverse(Madi tingz)

Mazing ni kupiga tu baroda
Piga riu tukukate hadi mocha
Piga tapo mrazi achachishe
Piga chungli renga kwa mrota
Babilon wanadai tu Portmore
Wananauowo ngumi mbweze ni hate bad
Hatuwadungi na ukapi ni mangiso
Leta blodclat tukupige kidi

Tiang' ban hii akibonga ni abugde
Babilon wakimuok tuko nayo
Ng'ora mbogi ka uko na OB
Jaribu mbogi ujue si dikwara
Wakikwara tunasnadi kimangoto
Mangoto tulipiga finamonto
Backstreet ukirenga unabaki
Riang' zetu kuwadunga kwa mandaki

Hizi beat tunazisunda kwa ass
Tunawakulisha das na manyonyo wameburst
Round 2 tunakuja kuwabrush
Rhyme zao kuna vile zimerust

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Kidungi Cover (Mbogi Genje) (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

GHETTO ICONS

Kenya

Ghetto icons is A group of 3 young talents kids doing what they love most (Music) since School lockd ...

YOU MAY ALSO LIKE