Sukari Parody (Zuchu) Lyrics

Juzi nikikula kichwa
Bibi ya mtu ananitongoza (Tongoza)
Mpaka namba anaitisha
Anataka kunionjesha (Onjesha)
Nikisema mbuzi kwisha
Ananiambia ongeza (Ongeza)
Ma thermos zinaitishwa
Ni mathufu juu ya meza (Ya Meza)
Ikipanda ni balaa, transformer
Ikiinuka ni bazooka (Transformer)
Mommy unataka madhara (Transformer)
Nitakukulia pilipili (Transformer)
Labda twende msalaani (Transformer)
Sina pesa twende ndani (Transformer)
Na mi sijui kusumbuana (Transformer)
Ingia kwake anatoa, woooiii
Ki suruali, akanitolea
Ki surua suruali, akanitolea
Ki suruali, akanitolea
Ki surua suruali, akanitolea
Ki suruali, akanitolea
Ki surua suruali, akanitolea
Ki suruali, akanitolea
Ki surua suruali, akanitolea
Wanaitaga kifuniko ya asali
Wengine wanaita the last obstacle
--
--
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Sukari Parody (Zuchu) (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
PADI WUBON
Kenya
Padi Wubonn is a famous Kenyan based Comedian,Mc, actor,script writer,film director, song writer, gy ...
YOU MAY ALSO LIKE