Moyo Tulia Lyrics

Hulira moyo hulira
Hulira moyo hulira
Tulia moyo tulia
Tulia moyo tulia
Kwenye giza milima umepitia moyo
Kwa moto umepitia
Kwenye giza milima umepitia moyo
Kwa moto umepitia
Mzigo mzito umebeba ah moyo oo
Kilio kimekuja
Mzigo mzito umebeba ah moyo oo
Kilio kimekuja
Panguza machozi usilie
Rafiki Yesu anakushughulikia
Panguza machozi usilie
Rafiki Yesu anakuangalia
Hulira moyo hulira
Hulira moyo hulira
Tulia moyo tulia
Tulia moyo tulia
Ayubu aliteswa mwili wake
Watoto wake na mifugo yake
Ila Mungu hakuruhusu
Roho yake iguswe
Ndivyo hivyo hataruhusu
Roho yako iguswe
Panguza machozi usilie
Rafiki Yesu anakushughulikia
Panguza machozi usilie
Rafiki Yesu anakuangalia
Hulira moyo hulira
Hulira moyo hulira
Tulia moyo tulia
Tulia moyo tulia
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Moyo Tulia (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE