Home Search Countries Albums

Amanda Pressure

FANCY FINGERS Feat. NYASHINSKI

Amanda Pressure Lyrics


Amanda, amanda, amanda pressure
Amanda, amanda, amanda pressure
Amanda, amanda, amanda pressure
Ila nikipenda nimependa
I’m under, under, under pressure
I’m under, under, under pressure
I’m under, under, under pressure
Ila nikipenda nimependa

Oooh oh oh
Otieno akipenda ni kwa
Roho me nataka niongeze more
Mapenzi moto moto yaka kijaluo  
Oooh oh oh
Otieno akipenda ni kwa
Roho me nataka niongeze more
Mapenzi moto moto yaka kijaluo  

From lonely nights to forever my love
To boring nights to whenever you’re gone
Love me right hadi niweka song
Ka unajipenda hapa utapenda kupendwa
Morning flights to whenever my love
Na shopping bags ziunenepa kujaa
I take my time too… never in a rush
Enjoy the present kila saa ni December
Nakuwoo nikaa we si wangu
When you tell me you love me too
Naona mpenzi wangu
Kuteseka hauwezi kwangu
It’s amazing how this went from something to everything
Everything I want, everything I need
Cheki tu blessings ziko plentiful
I love you when I’m friend with you
From lonely nights to forever my love
Guarantee kwangu utapenda kupendwa

Oooh oh oh
Otieno akipenda ni kwa
Roho me nataka niongeze more
Mapenzi moto moto yaka kijaluo  
Oooh oh oh
Otieno akipenda ni kwa
Roho me nataka niongeze more
Mapenzi moto moto yaka kijaluo  
Oooh oh oh
Otieno akipenda ni kwa
Roho me nataka niongeze more
Mapenzi moto moto yaka kijaluo  
Oooh oh oh
Otieno akipenda ni kwa
Roho me nataka niongeze more
Mapenzi moto moto yaka kijaluo  
Oooh oh oh
Otieno akipenda ni kwa
Roho me nataka niongeze more
Mapenzi moto moto yaka kijaluo
Oooh oh oh
Otieno akipenda ni kwa
Roho me nataka niongeze more
Mapenzi moto moto yaka kijaluo

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Amanda Pressure (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

FANCY FINGERS

Kenya

Fancy Fingers real name Polycarp Otieno is a full time Dad, Guitarist, Composer, Producer, Memb ...

YOU MAY ALSO LIKE