Wainame Lyrics
Hizi blessings zinakam na ubaya
Nimeload vinoma
Show mabeste basi wainame
Holy Spirit ameshuka
Uwepo wake umetawala
Show mabeste basi wainame
Basi wainame
Wainame, basi wainame
Wainame, basi wainame
Wainame, basi wainame, wainame
Hapa kwa Christ manze kuna rada
Napiga sala na Christ tena kam vifsta
Neno ni tamu hata kuliko fanta
Fundi wa mbao amenipenda akanipiga randa
Ningekuwa siwezi imba singeskiza local
Na si ati ju nimeokoka sasa unibebe ndogo
Naweza kemea mapepo mi niko na roho
Usipotee duniani utakula kokoto
Hiki kitabu kitam kinafunza
Ina memory verse zinaguza
Wanaosujudu wanapata miujiza
Na wanaoinama mbele zake watabarikiwa
Hizi blessings zinakam na ubaya
Nimeload vinoma
Show mabeste basi wainame
Holy Spirit ameshuka
Uwepo wake umetawala
Show mabeste basi wainame
Basi wainame
Wainame, basi wainame
Wainame, basi wainame
Wainame, basi wainame, wainame
Tunainama hakuna kuhama
Kwa Yesu nimeona maana
Hata iwe wapi siwezi mkana
Hakuna kitu naogopa ka laana
Nafuata sheria za bwana am humble
Nikiinama anahandle
Hapa ni Holy place naremove my sandles
Nikimsaka si lazima bundles
Nasema hizi blessings
Zinakuja vibaya
Holy spirit ameshuka
Uwepo wake unatawala
Hizi blessings zinakam na ubaya
Nimeload vinoma
Show mabeste basi wainame
Holy Spirit ameshuka
Uwepo wake umetawala
Show mabeste basi wainame
Basi wainame
Wainame, basi wainame
Wainame, basi wainame
Wainame, basi wainame, wainame
Nasema hizi blessings
Zinakuja vibaya
Holy spirit ameshuka
Uwepo wake unatawala
Hizi blessings zinakam na ubaya
Nimeload vinoma
Show mabeste basi wainame
Holy Spirit ameshuka
Uwepo wake umetawala
Show mabeste basi wainame
Basi wainame
Wainame, basi wainame
Wainame, basi wainame
Wainame, basi wainame, wainame
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Wainame (Single)
Copyright : (c) 2019 Golden Hour Productions
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE