Baba Lyrics

Have you got to chill with the great
If you got enough take you back to the States
Wah! Kenyan flag upon daddy
Today she in she call me green hot Daddy(Yes Me)
Jina langu ni Fanaka, sawa na Baba
Pull up welcome siz like sima na sukuma
Baba a man gotta cop that check
Baba little sober don't be too intellect
Baba! Baba! Baba! Baba!
Baba! Baba! Baba!
Odi odi Baba! Baba!
Baba! Baba!
Wacha wacha
Kata kata(Kata), Baba Baba(Baba)
Kata kata(Kata), Baba haiyaa
Uii uii uii ni ma Twa! Twa!
Stingo flani za ma Twa! Twa!
Ju huku Kenya ni maTaTa
Unaeza kulwa hadi kwa manyatta
Setisha ka una shada hadi ukuje kwangu wee
Wakisha na usifike kimangoto hadi ufike umebisha
Pandisha ka ni tam bakisha
Ka ni nduku nukisha
Ka ni ndugu tumchachie hapa bana masika
Leta leta zinishike ka naskiza Arika
Matika ka ana fuko pachika
Ka ana turi katika na kigal dakika
Mangika ushalewa na umekunywa masida
Ka Wangoi ako area itabidi umepita
Idi Amini nitakutoa tu maganda
Ujiamini uzitoke kwa kitanda
Toote ni matry sa unaitwa?
Baba! Baba! Baba! Baba!
Baba! Baba! Baba!
Odi odi Baba! Baba!
Baba! Baba!
Wacha wacha
Kata kata(Kata), Baba Baba(Baba)
Kata kata(Kata), Baba haiyaa
I want another one just like the other one
--------------
--------------
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Baba (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
FANAKA NATION
Kenya
Fanaka Nation is a music crew run by Fanaka Ndege who is an artist from Kenya. ...
YOU MAY ALSO LIKE