Home Search Countries Albums
Read en Translation

Kwendaa Lyrics


(Depo on the Beat)

Sipendi mangoma za Kenya (Kwendaa)
Mi sitambui Omollo (Kwendaa)
Ah si huyu boy huringa (Kwendaa)
Mi sijai hire madinga (Kwendaa) Shenzi!

Mi sipendi hizo mangoma (Kwendaa)
Mi sitambui Omollo (Kwendaa)
Manze huyo boy huringa (Kwendaa)
Mi sijai hire madinga (Kwendaa) Shenzi!

Imebidi nijirushe kwa debe (Imebidi nijirushe kwa debe)
Hizo makura lazima nibebe (Hizo makura lazima nibebe)
Rao na Ruto wameingiza njeve (Kijana anasema wanataka kujua)
Omollo pekee ndo amesimamisha reggea (Omollo, Omollo, Omollo)

Ka nakuboo chukua wembe umeze (Mezaa!)
Na hapa sikuji ndo niwambembeleze (Kwendaa!)
Swag imetii imepandishwa ndege (Zoom, zoom, zoom!)
Nakashikisha utadhani ni veve (Ohh, oooh, ooh!)

MCSK wanahitaji mateke (MCSK wanahitaji mateke)
Nitakuja kwa ofisi niwabakishe ndethe (Kwendeni huko matako)
Wasanii ndo mmeamua mtese (Wasanii ndo mmeamua mtese)
Kwenda pesa zetu mlete (Kwendaa!)
Mi nitawakatakata hizo pembe (Mi nitawakatakata hizo pembe)
Wera hampigi nyi ni wazembe (Wera hampigi nyi ni wazembe)
Hakuna kuhepa kwanza tujenge (Tupeeni hizo mapesa)
Rende ni rong, mbogi ni genje (Rende ni rong, mbogi ni genje)
Mavijana wanalia unenge (Mavijanaa hawajadishi kakitu)
Na bado mnafinyilia wagenge (Pesa iko wapi we nilipe)
Kwa sai tumegoma wacha kaende (Wacha kaende mimi sitaki)
Na siko solo niko na kirende (Na siko solo niko na ki)

Sipendi mangoma za Kenya (Kwendaa)
Mi sitambui Omollo (Kwendaa)
Ah si huyu boy huringa (Kwendaa)
Mi sijai hire madinga (Kwendaa) Shenzi!

Mi sipendi hizo mangoma (Kwendaa)
Mi sitambui Omollo (Kwendaa)
Manze huyo boy huringa (Kwendaa)
Mi sijai hire madinga (Kwendaa) Shenzi!

Mashonde kwa DM but mi sijibu (Sijubuuu)
Ju najua ni jina unataka kuharibu (Haribuu)
Ukiachwa wachika achana na wivu (Wachana na mimi)
Na mimi Omollo mimi sijibu (Omollo)

Na ka sikutaki nitakwambia kwenda (Kwendaa!)
Ju nikiwa juu ndo nyi hunipenda (Pendaa)
Chorea hii mbogi inaweza kutenda (Tendaa)
Na chini ya waba wako na ajenda (Hahaha)

Nikiwa Kayole utanipata kwa Proface (Proface, Proface)
Ju huko ndo mi husupply ndoces (Whoop whoop whoop!)
Ngoma nauza utadhani ni tokens (Tiii tii tii!)
Hakuna teke trust the process (Vrooom vroom vroom!)

Na ka ni collabo utabonga na Franko (Franko Franko)
Amekuwa manager kutoka campo (Campo campo)
BET nominee buda narun show (Omollo, Omollo)
Omollo unatesa manze jo kam slow

Ah nyi MCSK ni mafala (Kwendaa)
Mnatupeleka hasara (Kwendaa)
You gotta pay what you owe (Kwendaa)
Nasema nataka hio doh (Kwendaa) Shenzi!

Manze tumechoka na curfew (Kwendaa)
Uhunye jo rada ni chafu (Kwendaa)
Si uskie kilio ya watu (Kwendaa)
Ghetto mbogi iko njaa tu (Kwendaa) Shenzi!

Sipendi mangoma za Kenya (Kwendaa)
Mi sitambui Omollo (Kwendaa)
Ah si huyu boy huringa (Kwendaa)
Mi sijai hire madinga (Kwendaa) Shenzi!

Mi sipendi hizo mangoma (Kwendaa)
Mi sitambui Omollo (Kwendaa)
Manze huyo boy huringa (Kwendaa)
Mi sijai hire madinga (Kwendaa) Shenzi!

Kwendaa! Kwendaa!
Kwendaa! Kwendaa!
Kwendaa! Kwendaa!
Kwendaa! Kwendaa!

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Kwendaa (Single)


Copyright : (c) 2020 Blu Ink Corp


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

KHALIGRAPH JONES

Kenya

Brian Robert Ouko better known as Khaligraph Jones is One of the most celebrated Hip Hop artists in ...

YOU MAY ALSO LIKE