Home Search Countries Albums

Uko Poa

ETHAN MUZIKI

Uko Poa Lyrics


Labda unafikiri uko poa saa hii
Eti vile hauko na mi
Sikutaka kukueka chini
Ningekupa kula kitu wee
Labda unafikiri uko poa saa hii
Eti vile hauko na mi
Sikutaka kukueka chini
Ningekupa kula kitu wee

I did not believe that it would end no
Nilifikiri yetu special
You're not even talking to my friends though
Mbona kila saa ni kama tunawachana
Day ya kwanza kuna fire kila time na
Siku hizi kukuona kuna line
Used to keep my picture posted by your bedside
Now it's in your dressed with the socks you don't like

Sijafika mahali ntakuacha kwani
Ningelipa mahari ulishaniwai
Nakujulia hali kunilenga haifai
Na nimeona

Labda unafikiri uko poa saa hii
Eti vile hauko na mi
Sikutaka kukueka chini
Ningekupa kula kitu wee
Labda unafikiri uko poa saa hii
Eti vile hauko na mi
Sikutaka kukueka chini
Ningekupa kula kitu wee

Na mimi nataka tu kukuona
Siku zimepita lakini ninakuota
Tell me is there something inside the water
Ama hizi ni mashetani zinanifwata
Na juzi mama fua uliza
Uko wapi kwani nilikukimbiza
Juu shati zako tena hazionekani
Nikadanganya uko shule amerekani

Sijafika mahali ntakuacha kwani
Ningelipa mahari ulishaniwai
Nakujulia hali kunilenga haifai
Na nimeona

Labda unafikiri uko poa saa hii
Eti vile hauko na mi
Sikutaka kukueka chini
Ningekupa kula kitu wee
Labda unafikiri uko poa saa hii
Eti vile hauko na mi
Sikutaka kukueka chini
Ningekupa kula kitu wee

Hau...vile hauko na mi'
Ningekupa kila kitu

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Uko Poa (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

ETHAN MUZIKI

Kenya

Ethan Muziki is a Songwriter, producer & Audio engineer from Kenya. He was a member of Jadi ...

YOU MAY ALSO LIKE