X
Nafsi yangu yakutamani Lyrics
nafsi yangu yakutamani roho yangu yaona kiu kama ayala atafutavyo maji ya mto baba nafsi yangu yakutamani nijaze na roho mtakatifu niweke karibu nawe nirejeshee furaha ya wokovu baba nafsi yangu yakutamani
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Nafsi yangu yakutamani
Copyright : ©2019
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE