Home Search Countries Albums

Mwendo

EDDY MANDA Feat. MARIOO

Mwendo Lyrics


Mwenye ukali wa mitindo
Ana shape ya kuvalia dera
Ukimwona bakora fimbo
Kuzidi kina Isabella

Ate, ate kashika pua
Ate, vile kama anapakua
Mule mule najichatua
Kimoko, mmmh yeah yeah

Kaanika, ayayayaya
Naanua, ayayayaya
Akifunuika, ayayayaya
Nafunua, ayayayaya

Ha! Nionee mwenzio
Ha! Moyo uko mbio
Ha! Ziba sikio
Sikio wasikunong'oneze

Oooh mama kokae, ooh mama kokae
Oooh mama kokae, ooh mama kokae
Oooh mama kokae, ooh mama kokae
Oooh mama kokae, ooh mama kokae

Ah shika hapa hapa
Ukienda kwingine utakosea
Niko chapa chapa
Wapi kwingine natokea?

We, akitembea anaacha alama alama
We, ah ni teteme teteme (Oooh mama)
Akiongea hoi temeke ya maana
Ah jicho usiseme, yeah yeah

Kaanika, ayayayaya
Naanua, ayayayaya
Akifunuika, ayayayaya
Nafunua, ayayayaya

Ha! Nionee mwenzio
Ha! Moyo uko mbio
Ha! Ziba sikio
Sikio wasikunong'oneze

Oooh mama kokae, ooh mama kokae
Oooh mama kokae, ooh mama kokae
Oooh mama kokae, ooh mama kokae
Oooh mama kokae, ooh mama kokae

Yamoto moto, yamoto
Yamoto moto, yamoto
Yamoto moto, yamoto
Yamoto moto, yamoto

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Mwendo


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

EDDY MANDA

Tanzania

Eddy Manda is an artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE