Home Search Countries Albums

Mbinguni

FID Q Feat. CHINO KIDD

Mbinguni Lyrics


Weeh tangu ujue mie nakupenda
Umekua feki feki umekua haueweli
Wala hausemezeki
Mia nia kechi unajificha umekua mzekezeke
Kinkara mie ninajua you been killing it
Sankara ninatokwa chozi linatiriri
Ankara more hasara roho wena
Unatakua u dance with the stars
Ukipata hiyo chance utaifurahia
Yule anayestrend akijaa
Kuwa zaidi ya friends utamng’angania
Kahuna ambaye hapendi raha
Mambo yakichenji hukutata pia
Haujui pretending wewe ma
Hautaki washenzi wa kuchapa kimbia

Heey, bora niishi mbali mbali eeh
Tusijuane nimechoka
Bora niishi mbali mbali eeh
Tusijuane nimechoka
Bora haya mahaba niyaongeze kwa Yesu
Kesho niende mbinguni ooh ooh ooh
Bora haya mahaba niyaongeze kwa Yesu
Kesho niende mbinguni ooh ooh ooh
Ooh ooh ooh
Ooh ooh ooh

Kuburuzwa kama mchanga chini ya flip flops
Kufungwafungwa kama sisu
Pashoshoka hapaingi kisu
Kuburuzwa kama mchanga chini ya flip flops
Kufungwafungwa kama sisu
Pashoshoka hapaingi kisu

Mwenye kisu kikali round hii ndio anatisha
Agiza kidali anita eeh
Vitu vikali mashisha shisha
Iponde hii mali mamisa eeh
Kisu kikali round hii ndio anatisha
Agiza kidali anita eeh
Vitu vikali mashisha shisha
Iponde hii mali mamisa eeh

Bora niishi mbali mbali eeh
Tusijuane nimechoka
Bora niishi mbali mbali eeh
Tusijuane nimechoka
Bora haya mahaba niyaongeze kwa Yesu
Kesho niende mbinguni ooh ooh ooh
Bora haya mahaba niyaongeze kwa Yesu
Kesho niende mbinguni ooh ooh ooh
Ooh ooh ooh
Ooh ooh ooh

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Mbinguni (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

FID Q

Tanzania

Fid Q, born Fareed Kubanda on the 13th of August 1982 in Mwanza, Tanzania, is a popular Bongo F ...

YOU MAY ALSO LIKE