Subiri Lyrics
Eeh Aaliyah, uko tayari?
Subiri (Kubwa)
Sasa anasa mi naogopa
Utanidanganya danganya mimi mwenzako
Unachotaka utakipata
Mapenzi ya wazazi yanatosha na sio yako
Kila siku kunitext, ati niko sexy mama
Changa changa umeona kiroo kimesimama
Mara ooh twende date, kwani huna haya bwana
Hunipati mi bado mdogo sijakomaa
Subiri we acha tamaa (Subiri)
Kwa sasa hayatanifaa (Subiri)
Subiri siwezi kupendana nawe
Subiri we acha tamaa (Subiri)
Kwa sasa hayatanifaa (Subiri)
Subiri siwezi kupendana nawe
Hatujui yupi ni mdogo yupi ni mkuu
Kuku wa breed analika kienyeji nafuu
Hizo destu aki hata shakira hakupati
Unakunjwa ungali mbichi samaki samaki
Hivi mama naona picha zile unapost Insta
Kizazi kile ambacho model Vera Sidika
Hakuna kuficha ficha ningechelewa misa
Enzi za E-Sir sa wakati maria akiwa bikra
Sasa kipi ambacho kinafanya unakataa
Kama bado muda mbona ukitungo unazaa
Bibi zenu walolea watoto wakakaa
Stori za under-age mbona zamani haikufaa
Tatizo unachosema sicho nacho tazama
Unapenda sana ila unaogopaga kufanya
Unapenda bata mnajua uchafu wote
Usiogope utavaa gumboots kwenye matope
Subiri we acha tamaa (Subiri)
Kwa sasa hayatanifaa (Subiri)
Subiri siwezi kupendana nawe
Subiri we acha tamaa (Subiri)
Kwa sasa hayatanifaa (Subiri)
Subiri siwezi kupendana nawe
Sina muda wa kupoteza, (Subiri) poteza
Acha niende kaka
Unajiongeza ukinitongoza, (Subiri) tongoza
Ila hautonipata
Sidanganywi na pesa, tamaa ije kunitesa
Ooh naogopa presha, mawazo na kukesha
Sidanganywi na pesa, utanitesa
Ooh naogopa presha, mawazo na kukesha
Subiri we acha tamaa (Subiri)
Kwa sasa hayatanifaa (Subiri)
Subiri siwezi kupendana nawe
Subiri we acha tamaa (Subiri)
Kwa sasa hayatanifaa (Subiri)
Subiri siwezi kupendana nawe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Subiri (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
AALIYAH STEPHANE
Kenya
Aaliyah Stephane is an artist from Kenya signed under Kubwa Studios. ...
YOU MAY ALSO LIKE