Super Star Lyrics

Watagwano
Nengaaa
Touch
You don’t know
Dume la mende
Tudooooo
Welcome to my instagram page
Superstar dully kama nicolas cage
I never lose, i never change, i never age
Vitu vingi nipo hoi nipo cage
Me ni dares salamian
Mtoto wa kariakoo dume la mende jambazi
Kilimanjaro na chuganian huko pian ni home
Bunju b ndo makazi
Nilishasota kwa miguu
Jua linachoma saa saba
Kama chokora
Ila leo ona nipo juu rip baba ruge mutahaba
Kaifunga njaa
Touch ita watu wote kwenye jiji
Kupop champagne baba imebidi
Ila toto ndogo ndogo toto biggie
Leo nafurana, leo nafurana
Touch ita watu wote kwenye jiji
Kupop champagne baba imebidi
Ila toto ndogo ndogo toto biggie
Leo nafurana, leo nafurana
Eyo machizi watagwan (superstar)
Dully sykes namba one (superstar)
Langu kitambo naitwa nah (superstar)
Eyo machizi watagwan (superstar)
Dully sykes namba one (superstar)
Langu kitambo naitwa nah (superstar)
Dully kariakoo nenga kino mabegani
Superstar toka kilwa road hakuna lami
Kabla ya richie one kumpa kajala majani
Bar zote masaki hapo tabata kuna nyani
Tunawika siku zote na roho zao mbaya
Roho zao mbaya, roho zao mbaya
Wakali wa misimu yote uliza lango la jiji
Mimi nikipata chochote nalipa pango kwa bibi
Ukiona sipatikani jua niko zangu angani
Kama sipo dubai basi nipo marekani
Touch ita watu wote kwenye jiji
Kupop champagne baba imebidi
Ila toto ndogo ndogo toto biggie
Leo nafurana, leo nafurana
Touch ita watu wote kwenye jiji
Kupop champagne baba imebidi
Ila toto ndogo ndogo toto biggie
Leo nafurana, leo nafurana
Eyo machizi watagwan (superstar)
Dully sykes namba one (superstar)
Langu kitambo naitwa nah (superstar)
Eyo machizi watagwan (superstar)
Dully sykes namba one (superstar)
Langu kitambo naitwa nah (superstar)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
DULLY SYKES
Tanzania
Abdul Sykes, also known as Dully Sykes, Mr Misifa or Mr Chicks is a Tanzanian musician born on ...
YOU MAY ALSO LIKE