Home Search Countries Albums

Michelle Sabeneiya

DULLY SYKES Feat. CHRISTIAN BELLA, MZEE YUSUPH

Michelle Sabeneiya Lyrics


Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Sabene, sabene sabeneiya
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya

Mrembo wa kiafrika mwenye manjonjo sana
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Here kwako nimefika nakuomba njoo njoo mama
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya

Sabe-sabe-sabe-sabeine-yaa
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Sabe-sabe-sabe-sabeine-yaa
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya

--
---

Mtu mwenye sifa zote za kuwa mwanamke 
Mrembo wa kiafrika Michelle sabeineiya
Nikilala usingizi namuota, Sabeneiya
Ni mwanamke wa ajabu sijapata awali kumuona

Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Sabene, sabene sabeneiya
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya

Mrembo wa kiafrika mwenye manjonjo sana
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Here kwako nimefika nakuomba njoo njoo mama
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya

Sabe-sabe-sabe-sabeine-yaa
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Sabe-sabe-sabe-sabeine-yaa
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya

Nilianza zako September
Ukanipaga remba November
Ukaja kutenda December
Nakupenda mtoto huna chemba

Mtoto wa ki-Pemba
Ulinipa bam bam mimi
Sikutaka kulemba 
Nikakupa Tam tam chini

Nii, nii nii nii
Nii my amor

Kiuno kabisa unakata
Unanipa mpaka nadata
Burudani kahawa kashata
Mpaka mwisho hahahahaha

Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Sabene, sabene sabeneiya
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya

Mrembo wa kiafrika mwenye manjonjo sana
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Here kwako nimefika nakuomba njoo njoo mama
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya

Sabe-sabe-sabe-sabeine-yaa
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Sabe-sabe-sabe-sabeine-yaa
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya

Aah hujaamua kuwa tende
Umenifanya nikupende
Aaah Sabene aah

Mimi kwa kweli unaniua
Unanimaliza unavyonukia
Usije ukaniacha ukaniacha
Ukaja ukaniua

Mgonjwa halua, halua
Vitu laini unajua
Mchakula, mchakula
Mchakula, mchakula aah pagande sasa

Sabe-sabe-sabe-sabeine-yaa
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Michelle Sabeneiya


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

DULLY SYKES

Tanzania

Abdul Sykes, also known as Dully Sykes, Mr Misifa or Mr Chicks is a Tanzanian musician born on ...

YOU MAY ALSO LIKE