Mama Samia Lyrics

Wanangu mmemuona mama huyo anameremeta
Mama Samia mama huyo anameremeta ayee
Mmemuona mama huyo anameremeta
Mama Samia mama huyo anameremeta ayee
Kama unampenda piga makofi mara tatu askie
Bado tunarudia piga makofi tumsifie mama samia huyo
Ni wewe Mama Samia kweli penye njia pana njia
Tunakupenda wote Watanzania, Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania
Mama Samia wee....
Wanangu mmemuona mama huyo anameremeta
Mama Samia mama huyo anameremeta ayee
Mmemuona mama huyo anameremeta
Mama Samia mama huyo anameremeta ayee
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Mama Samia (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
IBRAAH
Tanzania
IBRAAH real name Ibrahim Abdallah Nampunga (born 3rd July 1998) is an artist, singer, ...
YOU MAY ALSO LIKE