Mnyama Lyrics

Waiteeeee....!!
Wanangu game la leo
Hatoki mtu jamani
We litakufa jitu uwanjani
Hatoki mtu jamani
We litakufa jitu uwanjani
Usiwaone wanakonda
Hawaipendi Simba, wanaichukia Simba
Visirani kama wana mimba
Wanakerwa na simba, Hawaipendi Simba
Nuga si tunakutuma salamu peleka
Waambie wanao simba ndo mabigwa Africa
We piga kelele madada vigelegele
Simba atabaki simba hashindani na gedele
Ah wanangu niwaambiea niwaeleze
Na simba niwaambie niwaeleze
Ukinunua jezi ya Simba ya Yanga unapewa bure
Ukinunua jezi ya Simba ya Yanga unapewa bure
Sare zinaendelea, yebo yebo anapendeza tu
Sare zinaendelea, yebo yebo anapendeza tu
Sare zinaendelea, yebo yebo anapendeza tu
Sare zinaendelea, yebo yebo anapendeza tu
Oooh mbona pambe, vijora pambe?
Mbona pambe, vijora pambe?
Mbona pambe, utopolo pambe?
Mbona pambe, utopolo pambe?
Kama hatuondoki vile (Kama hatuondoki vile)
Kama hatuondoki vile (Kama hatuondoki vile)
Kama hatuondoki vile (Kama hatuondoki vile)
Kama hatuondoki vile (Kama hatuondoki vile)
We naskia kelele huko wanalia
(Naskia kelele huko wanalia)
We naskia kelele huko wanalia
(Naskia kelele huko wanalia)
Ooh kwani vipi (Mnyama anafanya yake)
We Manara kwani vipi (Mnyama anafanya yake)
Moh Dweji kwani vipi (Mnyama anafanya yake)
Mnyama anafanya yake
Mnyama anafanya yake
Mnyama anafanya yake
Mnyama anafanya yake
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Mnyama (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
DULLA MAKABILA
Tanzania
Dulla Makabila is an artist from Tanzania. Dulla sings Singeli type of music. ...
YOU MAY ALSO LIKE